Margaret Hamilton: Mwanamke Aliyesaidia Apollo 11 Kutua Mwezini Afariki Dunia Akiwa na Miaka 90.

Margaret Hamilton: Mwanamke Aliyesaidia Apollo 11 Kutua Mwezini Afariki Dunia Akiwa na Miaka 90.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Margaret Hamilton, mwanamke aliyeongoza timu iliyotengeneza programu za kompyuta za safari ya Apollo 11, amefariki akiwa na miaka 90.
232388f0-c2d5-11f1-a64c-550be9e3c66b.jpg.webp

Mwaka 1969, kompyuta ya Apollo 11 ilipata hitilafu muda mfupi kabla ya kutua mwezini, lakini programu aliyosaidia kuunda iliendelea kufanya kazi muhimu na kuwawezesha Neil Armstrong na Buzz Aldrin kutua salama.
Hamilton anahesabiwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa uhandisi wa programu (software engineering) na alitunukiwa Medali ya Uhuru ya Marekani mwaka 2016 kwa mchango wake mkubwa.
🚀 Mchango wake ulisaidia binadamu kufika mwezini na kubadilisha historia ya teknolojia duniani.
 
Sasa kuwashtukia uongo wao wa kutofika mwezini Kuna uhusiano gani wa Mimi kutumia simu, internet au teknolojia Yao?
Unajibu kama una kichwa.hivi mkiambiwa teknolojia from scratch mtakacho jibu kama ujinga wa prof kabudi.
 
Aliisaidiaje,iligoma kutua mwezini akashuka,akaisukuma ikagusa adhi ya mwezini?
 
Hawa wahuni walifanya igizo kwenye jangwa lao la California. Hakuna cha mwezini wala juani.
 
Back
Top Bottom