Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Mbona internet,simu,teknolojia na kuomba misaada yao unatumia au mzimuMarekani hawajawai kufika mwezini ni waongoo
Sasa kuwashtukia uongo wao wa kutofika mwezini Kuna uhusiano gani wa Mimi kutumia simu, internet au teknolojia Yao?Mbona internet,simu,teknolojia na kuomba misaada yao unatumia au mzimu
Unajibu kama una kichwa.hivi mkiambiwa teknolojia from scratch mtakacho jibu kama ujinga wa prof kabudi.Sasa kuwashtukia uongo wao wa kutofika mwezini Kuna uhusiano gani wa Mimi kutumia simu, internet au teknolojia Yao?
Haya wewe umefika?Marekani hawajawai kufika mwezini ni waongoo
Cha kushangaza anabisha kwa kutumia teknolojia zaoHaya wewe umefika?
Sasa Kuna ubaya gani kwani wamenipa bure? Yaani kutumia teknolojia Yao ndo niwalambe miguu?Cha kushangaza anabisha kwa kutumia teknolojia zao
Lioneni hili nyani, bado utegemee Tanzania kuwa km Ulaya sk moja?Marekani hawajawai kufika mwezini ni waongoo
Kuna vilaza watakutukana na kukukejeli. Ila hiki ulichokiandika ndiyo ukweli wenyewe.Marekani hawajawai kufika mwezini ni waongoo