kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
strange!!! hao marais wa west africa wanausudu waszungu sana inaonekana. kama wanashindana kama vile. east afrika ukifanya hivyo nadhani urais utausikia tu
Wadhungu dilii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
strange!!! hao marais wa west africa wanausudu waszungu sana inaonekana. kama wanashindana kama vile. east afrika ukifanya hivyo nadhani urais utausikia tu
Sasa naelewa kwanini Waafrika wanapenda wanawake wanaojikoroga.
Wakiwa nazo kidogo wanatafuta weupe wakiwa hana hata aliyejikoroga anafaa.
LOL!,..."hata aliyejikoroga anafaa" hehehehe!...lol!, this should be statement of the week!
Kwa kweli maana hizo nywele zina mambo mengi sanaChantal Biya's hair!,...she can be mistakenly identified as one of twanga pepetas :wacko:
Mama Salma inamfaa ile inaitwa Bibi Bomba...
Mbona wengi wao wabaya?au umekosea kuandika title ya thread?
Hao ni waume zao au baba zao?
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Mbona wengi wao wabaya?au umekosea kuandika title ya thread?
Mama Salma Kikwete, kwanini hayupo kwenye 10 Bora?
![]()
Mama Salma Kikwete, kwanini hayupo kwenye 10 Bora?
![]()
Only the beholder knows where the beauty is!!!!!! That is why kuna wengine wanasema sijui kampendea nini??? Mi ndiyo maana nayafurahia mapenzi hayabagui kila mtu anamdondokea anayemzimia...... Teh teh teh......What is beauty? It depends on how you see it.