msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Huu ni uongo mtupu! Hiyo list itakuwa katunga mkenya. Kamwe margaret kenyatta hawezi kuja kabla ya mke wa Kagame au hata firstlady wa Madagascar!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana kushadadia wake za wenzenu......
Haya sasa tuweke picha za wake zetu tuwashindanishe...
Teh teh teh.....Tuanze na Ishmael.
Hahahahaha inawezekana mkuu, ila kiukweli Mama Salma mzuri sana sana
Vigezo vikuu ni kuwa mweupe hapa
Bibie asilimia kubwa ya beauties(wanawake) ni weupe(lakini sio kwa mkorogo) naturally , hali kadhalika asilimia kubwa ya handisomes(wanaume) ni weupe.Hata ukipinga!
Sura mbaya vinahusiana na weusi au weusi unaweza kukazia ubaya wa mtu.Mfano ni Wassira, au Pinda!
Sasa Jiulize kwanini ninyi wanawake mnapaka mikorogo? na sio kwa waafrika tu!Jibu ni kwamba weupe unakazia au unaongeza uzuri!