Margaret Kenyatta among 10 Most Beautiful First Ladies in Africa (2014)

strange!!! hao marais wa west africa wanausudu waszungu sana inaonekana. kama wanashindana kama vile. east afrika ukifanya hivyo nadhani urais utausikia tu

Wadhungu dilii!
 
Sasa naelewa kwanini Waafrika wanapenda wanawake wanaojikoroga.

Wakiwa nazo kidogo wanatafuta weupe wakiwa hawana hata aliyejikoroga anafaa.

Utumwa upo ndani ya vichwa vyetu.
 
Sasa naelewa kwanini Waafrika wanapenda wanawake wanaojikoroga.

Wakiwa nazo kidogo wanatafuta weupe wakiwa hana hata aliyejikoroga anafaa.

LOL!,..."hata aliyejikoroga anafaa" hehehehe!...lol!, this should be statement of the week!
 
Kabila's first lady is pretty the rest they r just ohk
 
Vifaa vya King Mswati vinaongoza
 
Achana kushadadia wake za wenzenu......

Haya sasa tuweke picha za wake zetu tuwashindanishe...
Teh teh teh.....Tuanze na Ishmael.
 
walio top hiyo list wote weupe, yaani mpaka first ladies wetu bado tunaendelea kubaguliwa tu, mizungu hii
 
What is beauty? It depends on how you see it.
 
What is beauty? It depends on how you see it.
Only the beholder knows where the beauty is!!!!!! That is why kuna wengine wanasema sijui kampendea nini??? Mi ndiyo maana nayafurahia mapenzi hayabagui kila mtu anamdondokea anayemzimia...... Teh teh teh......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…