. historia ya yesu na ukoo wake inajulikana, kabila na asili yake inajulikana, kama una fact tofauti na zijulikanazo ungefafanua hapa ukawa mwanzo mzuri wa mjadala!
Miaka ya nyuma, makanisa mengi Ulaya yalikuwa na michoro ya Mama wa Yesu (Bikira Maria) na hata Yesu mwenyewe wakionyeshwa kama wenye muonekano wa asili ya kiafrika.
Hivi majuzi pia Pope Benedict na Francis walionekana wakisali mbele ya mchoro kama huo. JEE, Hivi INAWEZEKANA KWELI KWAMBA MARIAMU NA MWANAYE WALIKUWA WEUSI? Yesu akirejea (ukiristo na uislamu) kama mtu mweusi haitakuwa kizaazaa kwa wabaguzi wa rangi? Tuchangie.
https://www.google.co.tz/search?q=b...Fblack-madonna-and-child-in-europe%2F;512;470
hili jukwaa wakati mwingine hata linabebeshwa mizigo isiyo yake, hii thread haijakamilika kwa ajili ya kujadiliwa lakini iko hapa!! lete facts za kihistoria watu wajadili, siyo picha za sanamu bila historia nani alizichonga katika miaka ipi ili watu wapate kushughulisha akili na kupekuwa chanzo. historia ya yesu na ukoo wake inajulikana, kabila na asili yake inajulikana, kama una fact tofauti na zijulikanazo ungefafanua hapa ukawa mwanzo mzuri wa mjadala!
ILA HUU NI UKWELI USIOFICHIKA ukitafakari sana wakati mwingine unaweza ukawa wapata dhambi..
Inamaana Mitume woote walio andikwa katika Biblia (Kwa mimi ninaamini ndio hao hao waliopo katika Qur'an) kwani ni majina tuu ya kizungu linakuwa hivi, na kwakiarabu linakuwa vile ila ndio wale wale na historia zao za maisha ndizo zile zile. JE nachokitafakari ni kuwa...inamaana hawa wooote walikuwa weupe wa nchi hizo za Israel, Palestina nk. Hakuna hata mmoja aliyetoka Africa?
Na je Kabla ya kuja waarabu na wazungu sisi hatukuwa na dini hizi..Je inamaana sisi ni watu wa aina gani tulikuwa...? Inamaana tulikuwa na dhambi sana? Wenzetu walishaanza kujitakasa kwa Mungu muda mrefu sanaee!!
Pia Je mbona katika dunia sasa wao ndio wamekuwa wakiukaji wa Dini hii waliyoitangaza kwa kwenda kinyume na Maadili ya dini kuliko sisi tulioiga kwao?
Kuna mada iliwahi kuwekwa hapa baadae ikafutwa, inadsi Yesu hana blood relationship, Naona mkuu waweza tusaidia hebu tuweke sawa mkuu! Maana sisi wengine akili zetu zimegoma kukubali Uungu wa Yesu,Tunaamini huyu ni mtu ambae ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Kweli Mungu anawezakuwa na ukoo,kabila na asili kweli?.hili jukwaa wakati mwingine hata linabebeshwa mizigo isiyo yake, hii thread haijakamilika kwa ajili ya kujadiliwa lakini iko hapa!! lete facts za kihistoria watu wajadili, siyo picha za sanamu bila historia nani alizichonga katika miaka ipi ili watu wapate kushughulisha akili na kupekuwa chanzo. historia ya yesu na ukoo wake inajulikana, kabila na asili yake inajulikana, kama una fact tofauti na zijulikanazo ungefafanua hapa ukawa mwanzo mzuri wa mjadala!
Mkuu, unafundisha Udaktari wa Theolojia.Ukristo ulikuwepo huku Africa kabla ya ukoloni!
Nope. There is no infallible evidence to support your claims. I dispute and refute your belief as non verifiable and testable evidence.Inamaana Mitume woote walio andikwa katika Biblia (Kwa mimi ninaamini ndio hao hao waliopo katika Qur'an) kwani ni majina tuu ya kizungu linakuwa hivi, na kwakiarabu linakuwa vile ila ndio wale wale na historia zao za maisha ndizo zile zile. JE nachokitafakari ni kuwa...inamaana hawa wooote walikuwa weupe wa nchi hizo za Israel, Palestina nk. Hakuna hata mmoja aliyetoka Africa?
Hizi ni kazi za sanaa kufananishwa na kilichotokea.. Familia ya Yesu ni masikini na alizaliwa ktk hema ya ng'ombe ila hapo wamewavalisha madhahabu na wapo kwenye mansion, ni sanaa usijali..
Yesu alikuwa mu-Israel na Israelites are white.. Hii ndo Biblia, nayo ndiyo inayomweleza Yesu... Waislamu the same, mtume huyu kwao alikuwa mwarabu who are white in colour!!
Not true. It seems you don't know why Jesus was born in Manger.
Because of the crowds that had come to Bethlehem, there was no room at the inn for Mary and Joseph (Luke 2:7). While tradition says that the inn was a sort of hotel
In fact, the Greek word translated inn (kataluma) could be translated guest room. This fact has led some to believe that Jesus may not have been born in a stable or barn, but in a house with a lower floor serving as a nighttime shelter for the families animals.
Finally. Matthew 27:57 described this Joseph as a rich man.