shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
Okay that will be good.
kumbe unajua kiingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay that will be good.
kumbe unajua kiingereza.
hili jukwaa wakati mwingine hata linabebeshwa mizigo isiyo yake, hii thread haijakamilika kwa ajili ya kujadiliwa lakini iko hapa!! lete facts za kihistoria watu wajadili, siyo picha za sanamu bila historia nani alizichonga katika miaka ipi ili watu wapate kushughulisha akili na kupekuwa chanzo. historia ya yesu na ukoo wake inajulikana, kabila na asili yake inajulikana, kama una fact tofauti na zijulikanazo ungefafanua hapa ukawa mwanzo mzuri wa mjadala!
huyo jamaa hujamwelewa tu. Mrengo wa mada yake tuneshaujua.........anataka mjadala wa waislamu wanaokasirika mtume wao kuchorwa....anataka kusema kwamba mbona wao yesu na mama yake wameshachorwa kama waafrika na pengine kama wazungu wakristo duniani hawajakasirika.....! Ndo anakokwenda jamaa yetu......
bahati nzuri upo 100% wrong!!!!
You need to grow up and get out of the Swahili Box.
Malyenge, nadhani ni vizuri nikakuondosha hofu na hata wengineo. Lengo la hii post sio kuchonganisha malumbano ya dini kuu mbili (ukiristo na uislamu). Hapana. Lengo ni kuibua mjadala wa sisi kama WATU weusi kujitambua kuwa wenzetu wenye muonekano kama sisi huko zamani hawakuwa dhalili kama tunavyojidhani. Kwamba kuna wakati walitawala karibu dunia nzima (Kina Nimrod wa Cush). Ni kuibua visa vyenye ushahidi kuwa mahali fulani katika historia yetu kuna wenzetu (haswa wa ulaya) ambao wamekua wakituibia Identity yetu na sifa zetu kujipachika wao.Huyo jamaa hujamwelewa tu. Mrengo wa mada yake tuneshaujua.........Anataka mjadala wa waislamu wanaokasirika mtume wao kuchorwa....anataka kusema kwamba mbona wao Yesu na mama yake wameshachorwa kama waafrika na pengine kama wazungu wakristo duniani hawajakasirika.....! Ndo anakokwenda jamaa yetu......
Malyenge, nadhani ni vizuri nikakuondosha hofu na hata wengineo. Lengo la hii post sio kuchonganisha malumbano ya dini kuu mbili (ukiristo na uislamu). Hapana. Lengo ni kuibua mjadala wa sisi kama WATU weusi kujitambua kuwa wenzetu wenye muonekano kama sisi huko zamani hawakuwa dhalili kama tunavyojidhani. Kwamba kuna wakati walitawala karibu dunia nzima (Kina Nimrod wa Cush). Ni kuibua visa vyenye ushahidi kuwa mahali fulani katika historia yetu kuna wenzetu (haswa wa ulaya) ambao wamekua wakituibia Identity yetu na sifa zetu kujipachika wao.
Itakuwa ni matumizi mabaya ya wakati na online resources kama mtu atatumia jukwaa hili kuzirushia dini jirani makombora.
cc Eiyer, Rene Jr. Mkuu wa chuo, lusungo, illuh,
ILA HUU NI UKWELI USIOFICHIKA ukitafakari sana wakati mwingine unaweza ukawa wapata dhambi..
Inamaana Mitume woote walio andikwa katika Biblia (Kwa mimi ninaamini ndio hao hao waliopo katika Qur'an) kwani ni majina tuu ya kizungu linakuwa hivi, na kwakiarabu linakuwa vile ila ndio wale wale na historia zao za maisha ndizo zile zile. JE nachokitafakari ni kuwa...inamaana hawa wooote walikuwa weupe wa nchi hizo za Israel, Palestina nk. Hakuna hata mmoja aliyetoka Africa?
Na je Kabla ya kuja waarabu na wazungu sisi hatukuwa na dini hizi..Je inamaana sisi ni watu wa aina gani tulikuwa...? Inamaana tulikuwa na dhambi sana? Wenzetu walishaanza kujitakasa kwa Mungu muda mrefu sanaee!!
Pia Je mbona katika dunia sasa wao ndio wamekuwa wakiukaji wa Dini hii waliyoitangaza kwa kwenda kinyume na Maadili ya dini kuliko sisi tulioiga kwao?
Niko wrong kwa sababu unawachokoza wakristo. Unamwonesha Papa akiabudu sanamu la mtu mweusi.....Unakuwa unamaanisha nini? Unataka kuamsha hasira zao?
lusungo, naomba nikupe mchango wangu. Naona hujaridhika na majibu yaliyotangulia. Kuna njia nyepesi ya kujua rangi za/ya wahusika (Yesu na mama Yake):
1. Anza na watoto wa Nuhu baada ya gharika. Kuna mtoto wa Nuhu anaitwa HAM. Huyu ndiye mzazi wa watu WEUSI. Watoto wake 4 walikuwa Cush aliyekaa maeneo ya Ethiopia, Mizraim (Misri), Phut (Libya), Canaan (Canaan/Palestine/current israel region, Hayo maeneo hadi leo yana watu weusi wazawa asilia (kuna hata black palestinians-bahati mbaya wengi wanadhani walienda huko kwa utumwa-NO, wao ndio indigenous people, descendants wa Mtoto wa Nuhu, Caanan)
2. Kwa maana hiyo Maria na Yesu walizaliwa eneo la mtoto wa HAM (Caanan) ambalo watu walikuwa na rangi nyeusi/za kiafrika (caanan)
3. Wakazi wa Caanan na wale wa Misri walikuwa wanafanana sana kwa umbile na rangi. Hakuna anaye bisha kuwa wakazi wa Misri walikuwa rangi gani. Walikuwa Weusi.
![]()
Queen Ahmose-Nefertari, wife of Pharaoh Ahmose I. 15621495 BC.
Kuna visa 3 ambavyo mtu/watu wana-confuse waCaanan na Wamisri (ndugu zake nabii Yusuf-Joseph walishindwa kumtofautisha ndugu yao waliomtosa kisimani ili afe na wamisri (Genesis 42:8); mabinti wa Midian walimdhani nabii Musa ni Mmsiri(Exodus 2:19); Mgiriki mmoja alimdhani apostel Paul kuwa ni Mmsiri (Acts 21:38 Aren't you then the Egyptian who before.......) hali ya kuwa walikuwa waisrael/wacanaan.
Ni kwa sababu hizi za kufanana ndio maana hata Yesu alitoroshewa Misri ili asiuliwe na mfalme adui. Isingewezekana mtoto wa kizungu kujificha miongoni mwa wenzake weusi. Wala hamna sababu za msingi za kumdhani Maria na Yesu kuwa WAO WAWILI wangekuwa na muonekano tofauti na Wa-caana wenzao ambao walikuwa wakifanana na wamisri.
4. Sasa, Ukisoma Ufunuo 1:14-15 Yesu ameelezewa mwenye nywele kama sufi/WOOL. Ni watu weusi peke yao wenye WOOLEN hair His Hair was like the Wool on a Sheep Skin (Rev 1:14) | Rasta Livewire. Kisha imetajwa kuwa miguu yake ilikuwa kama BRASS iliyokaa kwenye tanuru muda mrefu. Inajulikana sana kwamba BRASS ikikaa kwenye moto muda mrefu huwa inageuka rangi na kuwa NYEUSI https://books.google.co.tz/books?id...wCA#v=onepage&q=heated brass is black&f=false
Kuna wengi huwa wanauliza Does the color of Jesus really Matter. Unfortunately the answer is YES. Because he is deemed to return in his original colour. And millions of unknowing people will potentially deny him because they had been MISLED.
cc Eiyer, illuh,
Fake fake fake....acha kudanganya. Jews comes from Eberi mwana wa Shemu mwana wa Nuhu....Wayahudi hawatokani na Hamu bali wanatokana na Shemu.
Haya yote uliyoyaandika si kweli
Genesis 10 - The Table of Nations
1. (1) The three sons of Noah: Shem, Ham, and Japheth.
B. The descendants of Ham.
1. (6) The sons of Ham: Cush, Mizraim, Put, and Canaan.
The sons of Ham were Cush, Mizraim, Put, and Canaan.
a. Ham: The descendants of Ham are the peoples who populated Africa and the Far East.
4. (15-19) The sons of Canaan.
"............................ Afterward the families of the Canaanites were dispersed. And the border of the Canaanites was from Sidon as you go toward Gerar, as far as Gaza; then as you go toward Sodom, Gomorrah, Admah, and Zeboiim, as far as Lasha.
Continue to speak EnglishThen after bieng out what next
Continue to speak English