Maria na Mwanaye Yesu, Mbona michoro inasema walikuwa Weusi ?

Status
Not open for further replies.
ila ni kwanini haya yoote hadi wajadili kuhusiana na Yessu a.k.a. ISSA..... Ni upungufu wa imani inaonyesha...Hawaamini wanachokiamini au? Basi kwa ufupi Aminini pasipokuwa na picha...Kama sisi tunavyomuamini Muhamad pasipokuwa na picha hata hatujui muonekano wake alikuwa vipi
Alikuwa mwarabu mwenye madevu.
 
mleta mada ameuliza kwa kiswahili ,wachimba chumvi wanakuja na english yao ili iweje sijui
 
Mkuu ni kweli Yesu alikua mweusi? nijibu kwa kiswahili plz.
lusungo, I use English for the benefit of all.
There are some groups of people, usually associate with some form of the "Blake Hebrew" or Black Jews" movement, who fervid vehemently assert that Christ Jesus was black/African in skin color/appearance or whatever you may call Him. While this contrasting the fact that the Bible declares Jesus' Jewishness, meaning He likely had light to dark brown skin, ultimately, the confabulation and or palaver discussion/argument misses the point. Does it really matter that we know the color of Jesus' skin-whether He was black, yellow, brown, blue or white?

Wherefore, it is the prophet Isaiah in the first dispensation who gives us the best and impeccable description of the physical appearance of Messiah Jesus: "He grew up before him like a tender shoot, and like a root out of dry ground. He had no beauty or majesty to attract us to him, nothing in his appearance that we should desire him" Cross reference Isaiah 53:2.

Consequently, if Jesus' skin color and complexion were important, then God would have told us about them.

Last edited by a moderator:
lusungo, I use English for the benefit of all.
There are some groups of people, usually associate with some form of the "Blake Hebrew" or Black Jews" movement, who fervid vehemently assert that Christ Jesus was black/African in skin color/appearance or whatever you may call Him. While this contrasting the fact that the Bible declares Jesus' Jewishness, meaning He likely had light to dark brown skin, ultimately, the confabulation and or palaver discussion/argument misses the point. Does it really matter that we know the color of Jesus’ skin—whether He was black, yellow, brown, blue or white?

Wherefore, it is the prophet Isaiah in the first dispensation who gives us the best and impeccable description of the physical appearance of Messiah Jesus: “He grew up before him like a tender shoot, and like a root out of dry ground. He had no beauty or majesty to attract us to him, nothing in his appearance that we should desire him” Cross reference Isaiah 53:2.

Consequently, if Jesus’ skin color and complexion were important, then God would have told us about them.

Sawa mkuu japo sijaelewa chochote.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu japo sijaelewa chochote.
lusungo, naomba nikupe mchango wangu. Naona hujaridhika na majibu yaliyotangulia. Kuna njia nyepesi ya kujua rangi za/ya wahusika (Yesu na mama Yake):

1. Anza na watoto wa Nuhu baada ya gharika. Kuna mtoto wa Nuhu anaitwa HAM. Huyu ndiye mzazi wa watu WEUSI. Watoto wake 4 walikuwa Cush aliyekaa maeneo ya Ethiopia, Mizraim (Misri), Phut (Libya), Canaan (Canaan/Palestine/current israel region, Hayo maeneo hadi leo yana watu weusi wazawa asilia (kuna hata black palestinians-bahati mbaya wengi wanadhani walienda huko kwa utumwa-NO, wao ndio indigenous people, descendants wa Mtoto wa Nuhu, Caanan)

2. Kwa maana hiyo Maria na Yesu walizaliwa eneo la mtoto wa HAM (Caanan) ambalo watu walikuwa na rangi nyeusi/za kiafrika (caanan)

3. Wakazi wa Caanan na wale wa Misri walikuwa wanafanana sana kwa umbile na rangi. Hakuna anaye bisha kuwa wakazi wa Misri walikuwa rangi gani. Walikuwa Weusi.

220px-Ahmes_Nefertari_Grab_10.JPG

Queen Ahmose-Nefertari, wife of Pharaoh Ahmose I. 1562–1495 BC.

Kuna visa 3 ambavyo mtu/watu wana-confuse waCaanan na Wamisri (ndugu zake nabii Yusuf-Joseph walishindwa kumtofautisha ndugu yao waliomtosa kisimani ili afe na wamisri (Genesis 42:8); mabinti wa Midian walimdhani nabii Musa ni Mmsiri(Exodus 2:19); Mgiriki mmoja alimdhani apostel Paul kuwa ni Mmsiri (Acts 21:38 Aren't you then the Egyptian who before.......) hali ya kuwa walikuwa waisrael/wacanaan.

Ni kwa sababu hizi za kufanana ndio maana hata Yesu alitoroshewa Misri ili asiuliwe na mfalme adui. Isingewezekana mtoto wa kizungu kujificha miongoni mwa wenzake weusi. Wala hamna sababu za msingi za kumdhani Maria na Yesu kuwa WAO WAWILI wangekuwa na muonekano tofauti na Wa-caana wenzao ambao walikuwa wakifanana na wamisri.

4. Sasa, Ukisoma Ufunuo 1:14-15 Yesu ameelezewa mwenye nywele kama sufi/WOOL. Ni watu weusi peke yao wenye WOOLEN hair His Hair was like the Wool on a Sheep Skin…(Rev 1:14) | Rasta Livewire. Kisha imetajwa kuwa miguu yake ilikuwa kama BRASS iliyokaa kwenye tanuru muda mrefu. Inajulikana sana kwamba BRASS ikikaa kwenye moto muda mrefu huwa inageuka rangi na kuwa NYEUSI https://books.google.co.tz/books?id...wCA#v=onepage&q=heated brass is black&f=false

Kuna wengi huwa wanauliza Does the color of Jesus really Matter. Unfortunately the answer is YES. Because he is deemed to return in his original colour. And millions of unknowing people will potentially deny him because they had been MISLED.

cc Eiyer, illuh,
 
Ahsante mkuu kwa elimu yako kwakweli umenifumbua mengi...

Sikuwahi fahamu haya na ubarikiwe Sana.
 
Last edited by a moderator:
Historia yake inajulikana. Hivyo basi itafute kama wengine wote walivyoitafuta. Ipo hatari ya kutafuniwa na kulishwa kama mtoto.

Kuna historia zaidi ya moja,wewe unazungumzia ipi?

Kwanini unadhani hiyo yako iko sahihi zaidi ya nyingine?
 
Mkristo kama mkristo hajawahi kumuona yesu kwa macho mbali alimwamini kwa imani maana ameamini kuwa yaliyoandikwa kuhusu yesu ni kweli kwa hiyo hawezi akatafuta rangi ya yesu au ya Maria maana kashaamini kuwa yesu alikufa na akafufuka na kazi yaukombozi kashamaliza haina haja yakutafuta anarangi gani maana maaniko ymeweka wazi yakuwa yesu si mwanadamu aliacha Enzi yake akaja duniani kama mwanadamu ili amkomboe mwanadamu maana yesu mwenyewe alisema katika maandiko ninyi hamuwezi kufanya neno lolote pasipo mm kwa maana hiyo maandiko yanasibitisha kuwa yesu ni mungu mwenye nguvu maana ndiye anayekupa uzima kwasasa kazi iliyobaki nikuamini siokutafuta rangi
 
lusungo, naomba nikupe mchango wangu. Naona hujaridhika na majibu yaliyotangulia. Kuna njia nyepesi ya kujua rangi za/ya wahusika (Yesu na mama Yake):

1. Anza na watoto wa Nuhu baada ya gharika. Kuna mtoto wa Nuhu anaitwa HAM. Huyu ndiye mzazi wa watu WEUSI. Watoto wake 4 walikuwa Cush aliyekaa maeneo ya Ethiopia, Mizraim (Misri), Phut (Libya), Canaan (Canaan/Palestine/current israel region, Hayo maeneo hadi leo yana watu weusi wazawa asilia (kuna hata black palestinians-bahati mbaya wengi wanadhani walienda huko kwa utumwa-NO, wao ndio indigenous people, descendants wa Mtoto wa Nuhu, Caanan)

2. Kwa maana hiyo Maria na Yesu walizaliwa eneo la mtoto wa HAM (Caanan) ambalo watu walikuwa na rangi nyeusi/za kiafrika (caanan)

3. Wakazi wa Caanan na wale wa Misri walikuwa wanafanana sana kwa umbile na rangi. Hakuna anaye bisha kuwa wakazi wa Misri walikuwa rangi gani. Walikuwa Weusi.

220px-Ahmes_Nefertari_Grab_10.JPG

Queen Ahmose-Nefertari, wife of Pharaoh Ahmose I. 1562–1495 BC.

Kuna visa 3 ambavyo mtu/watu wana-confuse waCaanan na Wamisri (ndugu zake nabii Yusuf-Joseph walishindwa kumtofautisha ndugu yao waliomtosa kisimani ili afe na wamisri (Genesis 42:8); mabinti wa Midian walimdhani nabii Musa ni Mmsiri(Exodus 2:19); Mgiriki mmoja alimdhani apostel Paul kuwa ni Mmsiri (Acts 21:38 Aren't you then the Egyptian who before.......) hali ya kuwa walikuwa waisrael/wacanaan.

Ni kwa sababu hizi za kufanana ndio maana hata Yesu alitoroshewa Misri ili asiuliwe na mfalme adui. Isingewezekana mtoto wa kizungu kujificha miongoni mwa wenzake weusi. Wala hamna sababu za msingi za kumdhani Maria na Yesu kuwa WAO WAWILI wangekuwa na muonekano tofauti na Wa-caana wenzao ambao walikuwa wakifanana na wamisri.

4. Sasa, Ukisoma Ufunuo 1:14-15 Yesu ameelezewa mwenye nywele kama sufi/WOOL. Ni watu weusi peke yao wenye WOOLEN hair His Hair was like the Wool on a Sheep Skin…(Rev 1:14) | Rasta Livewire. Kisha imetajwa kuwa miguu yake ilikuwa kama BRASS iliyokaa kwenye tanuru muda mrefu. Inajulikana sana kwamba BRASS ikikaa kwenye moto muda mrefu huwa inageuka rangi na kuwa NYEUSI https://books.google.co.tz/books?id...wCA#v=onepage&q=heated brass is black&f=false

Kuna wengi huwa wanauliza Does the color of Jesus really Matter. Unfortunately the answer is YES. Because he is deemed to return in his original colour. And millions of unknowing people will potentially deny him because they had been MISLED.

cc Eiyer, illuh,
Mdau hongera sana kwa mchango wako, vitu kama hivi huwezi kupata darasani.
cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Wickama kwa kweli umenifumbua akil. na it seems historia nyingi za kale tunazosoma nyingi zimechakachuliwa na hata tafsiri zetu kuhusu hii biblia huenda zipo chini sana..sasa hapa napata utambuzi kuwa kuna haja ya kusoma upya biblia.....huenda wazungu wanajua siri nyingi sana za ulimwengu huu na hawapo tayari kuzisema kwa hofu ya maslahi flan aidha ya kiumaarufu au hata kiuchumi na kijamii...ukweli utajulikana ..big up mkuu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom