Alikuwa mwarabu mwenye madevu.ila ni kwanini haya yoote hadi wajadili kuhusiana na Yessu a.k.a. ISSA..... Ni upungufu wa imani inaonyesha...Hawaamini wanachokiamini au? Basi kwa ufupi Aminini pasipokuwa na picha...Kama sisi tunavyomuamini Muhamad pasipokuwa na picha hata hatujui muonekano wake alikuwa vipi
lusungo, I use English for the benefit of all.Mkuu ni kweli Yesu alikua mweusi? nijibu kwa kiswahili plz.
You need to grow up and get out of the Swahili Box.mleta mada ameuliza kwa kiswahili ,wachimba chumvi wanakuja na english yao ili iweje sijui
lusungo, I use English for the benefit of all.
There are some groups of people, usually associate with some form of the "Blake Hebrew" or Black Jews" movement, who fervid vehemently assert that Christ Jesus was black/African in skin color/appearance or whatever you may call Him. While this contrasting the fact that the Bible declares Jesus' Jewishness, meaning He likely had light to dark brown skin, ultimately, the confabulation and or palaver discussion/argument misses the point. Does it really matter that we know the color of Jesus skinwhether He was black, yellow, brown, blue or white?
Wherefore, it is the prophet Isaiah in the first dispensation who gives us the best and impeccable description of the physical appearance of Messiah Jesus: He grew up before him like a tender shoot, and like a root out of dry ground. He had no beauty or majesty to attract us to him, nothing in his appearance that we should desire him Cross reference Isaiah 53:2.
Consequently, if Jesus skin color and complexion were important, then God would have told us about them.
lusungo, naomba nikupe mchango wangu. Naona hujaridhika na majibu yaliyotangulia. Kuna njia nyepesi ya kujua rangi za/ya wahusika (Yesu na mama Yake):Sawa mkuu japo sijaelewa chochote.
lusungo, naomba nikupe mchango wangu. Naona hujaridhika na majibu yaliyotangulia. Kuna njia nyepesi ya kujua rangi za/ya wahusika (Yesu na mama Yake):
1. Anza na watoto wa Nuhu baada ya gharika. Kuna mtoto wa Nuhu anaitwa HAM. Huyu ndiye mzazi wa watu WEUSI. Watoto wake 4 walikuwa Cush aliyekaa maeneo ya Ethiopia, Mizraim (Misri), Phut (Libya), Canaan (Canaan/Palestine/current israel region, Hayo maeneo hadi leo yana watu weusi wazawa asilia (kuna hata black palestinians-bahati mbaya wengi wanadhani walienda huko kwa utumwa-NO, wao ndio indigenous people, descendants wa Mtoto wa Nuhu, Caanan)
2. Kwa maana hiyo Maria na Yesu walizaliwa eneo la mtoto wa HAM (Caanan) ambalo watu walikuwa na rangi nyeusi/za kiafrika (caanan)
3. Wakazi wa Caanan na wale wa Misri walikuwa wanafanana sana kwa umbile na rangi. Hakuna anaye bisha kuwa wakazi wa Misri walikuwa rangi gani. Walikuwa Weusi.
Queen Ahmose-Nefertari, wife of Pharaoh Ahmose I. 15621495 BC.
Kuna visa 3 ambavyo mtu/watu wana-confuse waCaanan na Wamisri (ndugu zake nabii Yusuf-Joseph walishindwa kumtofautisha ndugu yao waliomtosa kisimani ili afe na wamisri (Genesis 42:8); mabinti wa Midian walimdhani nabii Musa ni Mmsiri(Exodus 2:19); Mgiriki mmoja alimdhani apostel Paul kuwa ni Mmsiri (Acts 21:38 Aren't you then the Egyptian who before.......) hali ya kuwa walikuwa waisrael/wacanaan.
Ni kwa sababu hizi za kufanana ndio maana hata Yesu alitoroshewa Misri ili asiuliwe na mfalme adui. Isingewezekana mtoto wa kizungu kujificha miongoni mwa wenzake weusi. Wala hamna sababu za msingi za kumdhani Maria na Yesu kuwa WAO WAWILI wangekuwa na muonekano tofauti na Wa-caana wenzao ambao walikuwa wakifanana na wamisri.
4. Sasa, Ukisoma Ufunuo 1:14-15 Yesu ameelezewa mwenye nywele kama sufi/WOOL. Ni watu weusi peke yao wenye WOOLEN hair His Hair was like the Wool on a Sheep Skin (Rev 1:14) | Rasta Livewire. Kisha imetajwa kuwa miguu yake ilikuwa kama BRASS iliyokaa kwenye tanuru muda mrefu. Inajulikana sana kwamba BRASS ikikaa kwenye moto muda mrefu huwa inageuka rangi na kuwa NYEUSI https://books.google.co.tz/books?id...wCA#v=onepage&q=heated brass is black&f=false
Kuna wengi huwa wanauliza Does the color of Jesus really Matter. Unfortunately the answer is YES. Because he is deemed to return in his original colour. And millions of unknowing people will potentially deny him because they had been MISLED.
cc Eiyer, illuh,
Nitaiweka kwa kiswahili.
Thanks
Inajulikanaje?
Hebu fafanua ....!!
Historia yake inajulikana. Hivyo basi itafute kama wengine wote walivyoitafuta. Ipo hatari ya kutafuniwa na kulishwa kama mtoto.
tatizo ni kucopy kutoka sehemu nyingine bila kufanyia uchanganuzi..mleta mada ameuliza kwa kiswahili ,wachimba chumvi wanakuja na english yao ili iweje sijui
Mdau hongera sana kwa mchango wako, vitu kama hivi huwezi kupata darasani.lusungo, naomba nikupe mchango wangu. Naona hujaridhika na majibu yaliyotangulia. Kuna njia nyepesi ya kujua rangi za/ya wahusika (Yesu na mama Yake):
1. Anza na watoto wa Nuhu baada ya gharika. Kuna mtoto wa Nuhu anaitwa HAM. Huyu ndiye mzazi wa watu WEUSI. Watoto wake 4 walikuwa Cush aliyekaa maeneo ya Ethiopia, Mizraim (Misri), Phut (Libya), Canaan (Canaan/Palestine/current israel region, Hayo maeneo hadi leo yana watu weusi wazawa asilia (kuna hata black palestinians-bahati mbaya wengi wanadhani walienda huko kwa utumwa-NO, wao ndio indigenous people, descendants wa Mtoto wa Nuhu, Caanan)
2. Kwa maana hiyo Maria na Yesu walizaliwa eneo la mtoto wa HAM (Caanan) ambalo watu walikuwa na rangi nyeusi/za kiafrika (caanan)
3. Wakazi wa Caanan na wale wa Misri walikuwa wanafanana sana kwa umbile na rangi. Hakuna anaye bisha kuwa wakazi wa Misri walikuwa rangi gani. Walikuwa Weusi.
Queen Ahmose-Nefertari, wife of Pharaoh Ahmose I. 1562–1495 BC.
Kuna visa 3 ambavyo mtu/watu wana-confuse waCaanan na Wamisri (ndugu zake nabii Yusuf-Joseph walishindwa kumtofautisha ndugu yao waliomtosa kisimani ili afe na wamisri (Genesis 42:8); mabinti wa Midian walimdhani nabii Musa ni Mmsiri(Exodus 2:19); Mgiriki mmoja alimdhani apostel Paul kuwa ni Mmsiri (Acts 21:38 Aren't you then the Egyptian who before.......) hali ya kuwa walikuwa waisrael/wacanaan.
Ni kwa sababu hizi za kufanana ndio maana hata Yesu alitoroshewa Misri ili asiuliwe na mfalme adui. Isingewezekana mtoto wa kizungu kujificha miongoni mwa wenzake weusi. Wala hamna sababu za msingi za kumdhani Maria na Yesu kuwa WAO WAWILI wangekuwa na muonekano tofauti na Wa-caana wenzao ambao walikuwa wakifanana na wamisri.
4. Sasa, Ukisoma Ufunuo 1:14-15 Yesu ameelezewa mwenye nywele kama sufi/WOOL. Ni watu weusi peke yao wenye WOOLEN hair His Hair was like the Wool on a Sheep Skin…(Rev 1:14) | Rasta Livewire. Kisha imetajwa kuwa miguu yake ilikuwa kama BRASS iliyokaa kwenye tanuru muda mrefu. Inajulikana sana kwamba BRASS ikikaa kwenye moto muda mrefu huwa inageuka rangi na kuwa NYEUSI https://books.google.co.tz/books?id...wCA#v=onepage&q=heated brass is black&f=false