Maria na Mwanaye Yesu, Mbona michoro inasema walikuwa Weusi ?

Status
Not open for further replies.

Huyo jamaa hujamwelewa tu. Mrengo wa mada yake tuneshaujua.........Anataka mjadala wa waislamu wanaokasirika mtume wao kuchorwa....anataka kusema kwamba mbona wao Yesu na mama yake wameshachorwa kama waafrika na pengine kama wazungu wakristo duniani hawajakasirika.....! Ndo anakokwenda jamaa yetu......
 


bahati nzuri upo 100% wrong!!!!
 
kumbe unajua kiingereza.


Hata mimi alinistua kwanza kulaani matumizi ya kiingereza kisha mdau yeye mwenyewe anamwaga umombo!!!!!! (hahahahaha...)
lusungo,
 
Last edited by a moderator:

bahati nzuri upo 100% wrong!!!!

Niko wrong kwa sababu unawachokoza wakristo. Unamwonesha Papa akiabudu sanamu la mtu mweusi.....Unakuwa unamaanisha nini? Unataka kuamsha hasira zao?
 
Malyenge, nadhani ni vizuri nikakuondosha hofu na hata wengineo. Lengo la hii post sio kuchonganisha malumbano ya dini kuu mbili (ukiristo na uislamu). Hapana. Lengo ni kuibua mjadala wa sisi kama WATU weusi kujitambua kuwa wenzetu wenye muonekano kama sisi huko zamani hawakuwa dhalili kama tunavyojidhani. Kwamba kuna wakati walitawala karibu dunia nzima (Kina Nimrod wa Cush). Ni kuibua visa vyenye ushahidi kuwa mahali fulani katika historia yetu kuna wenzetu (haswa wa ulaya) ambao wamekua wakituibia Identity yetu na sifa zetu kujipachika wao.

Itakuwa ni matumizi mabaya ya wakati na online resources kama mtu atatumia jukwaa hili kuzirushia dini jirani makombora.

cc Eiyer, Rene Jr. Mkuu wa chuo, lusungo, illuh,
 
Last edited by a moderator:

Wakatoliki waligeza Miungu weusi wa wamisri Isis na Osiris ambao waliingizwa kwenye cult ya virgin Mary.Wakati huo huyu Mungu mweusi ndiye Alikuwa anaabudiwa na wazungu.Lakini baadae walimbadilisha rangi.
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia hadithi za wamisri za Isis na Osiris zinafanana sana Na za wakristo za kufa na kufufuka kwa yesu
 

Luqman alikua mwafrica wa Misri ya zamani na Msudani kusini ya Leo, kwa kabila alikua mnubi,, Luqman ametajwa kwenye qoran hususan alipokua akimuusia mwanae kuhusu kumcha Mungu
 
Niko wrong kwa sababu unawachokoza wakristo. Unamwonesha Papa akiabudu sanamu la mtu mweusi.....Unakuwa unamaanisha nini? Unataka kuamsha hasira zao?

Utaniwia radhi kama nimeku-offend. Nadhani wewe unaongelea hii video. Fafanua ni vipi kinaku-offend. Ni picha ya black madonna? Au ni video wakiwa kwenye maombi? au ulitaka iwe siri?


 
Last edited by a moderator:

Fake fake fake....acha kudanganya. Jews comes from Eberi mwana wa Shemu mwana wa Nuhu....Wayahudi hawatokani na Hamu bali wanatokana na Shemu.

Haya yote uliyoyaandika si kweli
 
Fake fake fake....acha kudanganya. Jews comes from Eberi mwana wa Shemu mwana wa Nuhu....Wayahudi hawatokani na Hamu bali wanatokana na Shemu.

Haya yote uliyoyaandika si kweli


Source: Genesis 10 - The Table of Nations

Mkuu, hebu toa msaada, Ni kweli au siyo kweli kuwa Noah hakuwa na mtoto anaitwa CAANAN? Ukoo wa huyu mtoto uliishi wapi? Mbona GAZA inatajwa. Kama watoto wa Caanan ni ndugu na watoto wa Mizraim/ Cush, Phut, sasa ajabu ya wao kufanana ni ipi? Sikumbuki kuongelea Jews
 
AsUshauri wangu tafuta ingili ya barnaba hii itakupa jibu zuri
 
Duh sasa mbona katundikwa kwenye msaraba na kavishwa nap mungu wa a in a gani huyo atakae kubali madhila tote mfanyie kikwete uone atakubali tumia akili yako pumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…