Maria Sarungi: Accounts za Humphrey Polepole Hazijafutwa, Zimehifadhiwa

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
20251007_141111.png
Kuweni na amani 🙌🏽
Tuneweka akaunti za Humphrey Polepole salama ili wahuni wasiweze kuzifikia! 😀

Hakuna aliyezifuta zimehifadhiwa until Polepole arudi uraianj!
Tunashukuru kampuni za mitandao zime react fasta!

Mwambieni Mafwele sasa wamwachie hawapati kitu hapo!
#FreePolepole

Nimefurahi kiasi.
 
View attachment 3484912Kuweni na amani 🙌🏽
Tuneweka akaunti za Humphrey Polepole salama ili wahuni wasiweze kuzifikia! 😀
Hakuna aliyezifuta zimehifadhiwa until Polepole arudi uraianj!
Tunashukuru kampuni za mitandao zime react fasta!
Mwambieni Mafwele sasa wamwachie hawapati kitu hapo!
#FreePolepole

Nimefurahi kiasi.
Hii ni habari njema. Lakini inaweza kumfanya Samia na Mafwele wamuongezee mateso wakifikiri anawadanganya.
 
Kwahy hy ndio njia ya kumkomboa polepole, yn kuficha akaunti yake ndo njia ya kwenda kumkomboa polepole?

Halafu tena, mnasema Mafwele amuachie kisa hatopata kitu 😂 Wabongo sisi ni trash
Labda polepole aliacha roho yake kwenye accounts zake.

Huwezi jua yamungu ni mengi/"Of God are many" by Lucas Mwashambwa
 
Swali lakujiuliza ,waliwezaje kuzisecurer pasipo kuwa na password ya muhusika?

Waliyowapa hayo mamlaka ,waliwaamini kwa vigezo gani?
 
Ndio wanaanza kujitokeza na wafadhili wao wakutaka kuleta fujo, hawa wote wako connected mtandao mkubwa kama ule wanaosema wa wahuni CCM na wao wana mtandao wao hakuna tofauti same shit.
 
Huyo Maria Sarungi huwa haeleweki yupo upande upi.
Hiki sio kitu kibaya, ni jambo jema vyombo vikubwa vya kimataifa kama Instagram, Facebook, YouTube, X, Google, meta kujua ametekwa na anashikiliwa na genge la wahuni kwa sasa.

Nafikiri vyombo kama mahakama ya haki za kimataifa, nchi za ndani ya EU, US,UN, mashirika ya kutetea haki za binadamu, IMF, World bank, pamoja na wafadhili wa serikali ya Tanzania watakuwa na hizi habari na kuwasiliana na Samia.
 
Naombea iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom