Maria Sarungi: Accounts za Humphrey Polepole Hazijafutwa, Zimehifadhiwa

Maria Sarungi: Accounts za Humphrey Polepole Hazijafutwa, Zimehifadhiwa

Kwahy hy ndio njia ya kumkomboa polepole, yn kuficha akaunti yake ndo njia ya kwenda kumkomboa polepole?

Halafu tena, mnasema Mafwele amuachie kisa hatopata kitu 😂 Wabongo sisi ni trash
Sababu wanajua bado yupo hai kwa hio wamrudishe sio lazima waamuue
 
Mwanaume tafuta pesa miliki chuma yako kiunoni kua na utamaduni wa kufanya mazoezi ya ulinzi binafsi. usikubali polisi wakuchukue pambana utoke hapo au wakuulie hapo hapo. Nchi hii sio salama tena either tuungane au kila mtu amalizane na adui yake.
Mkuu acha tu aya mambo yasikie ,2015 nilinusulika na hili jambo kwa cheza akili zao tu wala sio nguvu ,mchezo niliwafanyia may be mpaka sasa kama wapo hai watakua wanajiuliza , upo kwenye Gari na umeisha zungukwa na watu miraba minne na upo kati , nilitumia akili kubwa sana , kibegi changu ndo ilikua njia ya kujinasua kwa akili kubwa, kumbuka pia ndo kilikua kipindi cha uchaguzi
 
Swali lakujiuliza ,waliwezaje kuzisecurer pasipo kuwa na password ya muhusika?

Waliyowapa hayo mamlaka ,waliwaamini kwa vigezo gani?
Haiko hivyo mkuu, kwa public figures meta wana utaratibu mkiripoti kuwa ametekwa au yupo kwenye hatari wanafunga wenyewe baada ya kujiridhisha, akiachiwa na wakapata uhakika wanamruhusu baada ya kuverify sura yake na mazingira.
 
Ndio wanaanza kujitokeza na wafadhili wao wakutaka kuleta fujo, hawa wote wako connected mtandao mkubwa kama ule wanaosema wa wahuni CCM na wao wana mtandao wao hakuna tofauti same shit.
Huwa mnasema amani gani nyie watu watoto wa Mdude ukiwambia hizi habari za amani au watoto wa mzee kibao wanaweza kukuelewa kweli?
 
Huwa mnasema amani gani nyie watu watoto wa Mdude ukiwambia hizi habari za amani au watoto wa mzee kibao wanaweza kukuelewa kweli?
Sasa wewe yule Mdude unamuonaje? JPM mwenyewe alitaka kumfyeka huko akaponea chupu chupu mdomo mchafu nakutukana watu personal. Nenda nchi yoyote kama utakuta watu design ya Mdude wakakaa salama. Nchi ina watu Mil 65 wewe kutwa mitusi kwa kiongozi wa nchi. Bora angetukana serikali sio unamtukana mtu. Huwa mnashangilia matusi mkibanwa mnakuja kulia humu.
 
Swali lakujiuliza ,waliwezaje kuzisecurer pasipo kuwa na password ya muhusika?

Waliyowapa hayo mamlaka ,waliwaamini kwa vigezo gani?
Unajua kwanini Polisi wanamtaka kaka Polepole? Wanataka kujua wanaelewa nini kuhusu watekaji na labda wana video au kitu gani hadi wakamjua Mafwere anahusika? Ili kama kumpoteza mazima Polepole au wakamdump sehemu
 
Sasa wewe yule Mdude unamuonaje? JPM mwenyewe alitaka kumfyeka huko akaponea chupu chupu mdomo mchafu nakutukana watu personal. Nenda nchi yoyote kama utakuta watu design ya Mdude wakakaa salama. Nchi ina watu Mil 65 wewe kutwa mitusi kwa kiongozi wa nchi. Bora angetukana serikali sio unamtukana mtu. Huwa mnashangilia matusi mkibanwa mnakuja kulia humu.
Matusi yanakuondolea urais kwani?
 
Back
Top Bottom