Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ni habari nzuri sana.Vyema
Sana, Cha msingi tuendelee kumtafuta.Ni habari nzuri sana.
Kabisa mkuu.Sana, Cha msingi tuendelee kumtafuta.
Hii ni habari njema. Lakini inaweza kumfanya Samia na Mafwele wamuongezee mateso wakifikiri anawadanganya.View attachment 3484912Kuweni na amani ππ½
Tuneweka akaunti za Humphrey Polepole salama ili wahuni wasiweze kuzifikia! π
Hakuna aliyezifuta zimehifadhiwa until Polepole arudi uraianj!
Tunashukuru kampuni za mitandao zime react fasta!
Mwambieni Mafwele sasa wamwachie hawapati kitu hapo!
#FreePolepole
Nimefurahi kiasi.
Labda polepole aliacha roho yake kwenye accounts zake.Kwahy hy ndio njia ya kumkomboa polepole, yn kuficha akaunti yake ndo njia ya kwenda kumkomboa polepole?
Halafu tena, mnasema Mafwele amuachie kisa hatopata kitu π Wabongo sisi ni trash
Wewe upo upande gani?Huyo Maria Sarungi huwa haeleweki yupo upande upi.
Ni kama wewe tu hamchekaniHuyo Maria Sarungi huwa haeleweki yupo upande upi.
Sawa sawa.Ni kama wewe tu hamchekani
Ndio wanaanza kujitokeza na wafadhili wao wakutaka kuleta fujo, hawa wote wako connected mtandao mkubwa kama ule wanaosema wa wahuni CCM na wao wana mtandao wao hakuna tofauti same shit.Swali lakujiuliza ,waliwezaje kuzisecurer pasipo kuwa na password ya muhusika?
Waliyowapa hayo mamlaka ,waliwaamini kwa vigezo gani?
Hiki sio kitu kibaya, ni jambo jema vyombo vikubwa vya kimataifa kama Instagram, Facebook, YouTube, X, Google, meta kujua ametekwa na anashikiliwa na genge la wahuni kwa sasa.Huyo Maria Sarungi huwa haeleweki yupo upande upi.
Naombea iwe hivyo.Hiki sio kitu kibaya, ni jambo jema vyombo vikubwa vya kimataifa kama Instagram, Facebook, YouTube, X, Google, meta kujua ametekwa na anashikiliwa na genge la wahuni kwa sasa.
Nafikiri vyombo kama mahakama ya haki za kimataifa, nchi za ndani ya EU, US,UN, mashirika ya kutetea haki za binadamu, IMF, World bank, pamoja na wafadhili wa serikali ya Tanzania watakuwa na hizi habari na kuwasiliana na Samia.