Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

Wewe ndiyo hujatembea, siyo yeye. Ndiyo maana nikakuambia kamuulize Obama kama coloured people wanaonwa kama ni wazungu na wazungu.

Ni kweli hawawaoni kama ni wazungu, lakini hawawaoni nyani kama sisi weusi wa weusi kabisa.
 
Ndiyo maana maria unamuona ana akili, kumbe kwa sababu wewe unajiona nyani!!??

Kwa taarifa yako, mimi ni muAfrika mweusi, lkn katu siyo nyani. Labda wewe ndiyo nyani.

Ww ni nyani hutaki jinyonge fullstop.
 
Mpuuzi sana huyu dada, hiyo picha ilipigwa Kinondoni mwaka 2006 sio huko Ngorongoro.
 
Ni kweli kabisa watanzania wanajitambua hadi pesa ya umma ikitoka kwenda kwenye maendeleo wanasema ni pesa za rais, lakini deni linalopatikana sio la rais bali ni la nchi! Inshort kujitambua sasa hivi ni kuwa mzandiki na kuisifia serikali.
Kwani ni selikali ya dhalimu wako hii?

Si unapumua wewe?
 
Wamasai Ni moja ya vivutio hapo Ngorongoro

Yuko sahihi

Kama movie ya Royal Tour , hakuleta matekeo yoyote Basi Samia hajui lolote kuhusu Utalii.
Na hii kitu ita chafua sekta ya utalii
Nimeamini nchi hii viazi ni vingi kuliko wenye akili zao.
Kwanini hamtaki kujifunza ukweli?
Je ni maasai wote wameondolewa au ni wale wachache walio ndani ya sehemu ya kuzaliana wanyama?

Jifunzeni kuwa sio hata robo ya wamaasai watakao ondolewa bali wachache mnoo.
Mimi ni mpinzani lkn kwa hili ninasimama na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…