Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

Hizo nchi nyingine tulizopakana nazo raia wetu walihamishwa kwa mabavu tupime usemacho?
Waamishwe watanzania, afu kuumia waumie wakenya! Narudia tena mfano mimi nimuhamishe mke wangu, afu kuumia uumie wewe shoga yake, et kwa sababu unaishi jirani na chumba chetu? Ushaona wapi uchungu wa namna hiyo? It doesn't make sense kabisa.
 
Bichwa empty. Kwa taarifa yako, yule hakuna mweupe anayemuona ni mwenzake. Hujatembea, ndiyo maana una mawazo ya kindezi.
Kamuulize Obama, ndiyo utaelewa ninachosema.
Huyo unaebishana nae, ni miongoni mwa wanaharakati koko wanaofanywa mazuzu na wamasai wa kenya ambao wengi wao hata kuoga hawajui. Afu ukute huyo mwanaharakati koko, eti yey ndo mjanja katika familia yao 🙆‍♂️
 
Wamasai

Wamasai waliojitokeza dar ubalozini sio wamasai ni wahuni wsliokulia mjini hata masikio yao ni ya kawaida. Pia kuna watu wanaitwa waarusha wanazurura mijiji wakijiita wamasai .
Waarusha ndio kabila gani vile?

Kwani Masai akiwa mjini sio masai? Hana haki ?
Epuka kusema unawatetea alafu kuna kundi unalitenga linalokamilisha hicho unachokiongelea.
 
Thats true.
Na isitoshe nchi hii ina mapori mengi tu yasiyokaliwa na watu, huko tabora na kwingineko. Kwanini loliondo? Wamasai nao ni watu. Wana haki ya kuchagua mahali pa kuishi ndani ya nchi yao...

Masai wanajikuta ni special group…!
 
Wewe ndio kiazi kabisa hivi kile wanachofanyiwa wamasai unaona kipo sahihi??!!mbona wao serikal wanadai ni iyari but wanashambulia hujiulizi??!!jiongeze wewe
Ukiambiwa hiali haimaanish ugome, Unapaswa kutii inawasilishwa kama ombi kwa lugha ya utu lakini sheria ishapita, Hata Lipumba alipigwa kiutaniutani hivohivo. Ohoooh
 
Waamishwe watanzania, afu kuumia waumie wakenya! Narudia tena mfano mimi nimuhamishe mke wangu, afu kuumia uumie wewe shoga yake, et kwa sababu unaishi jirani na chumba chetu? Ushaona wapi uchungu wa namna hiyo? It doesn't make sense kabisa.
Unamuhamishaje mkeo ndio tatizo. Unadhani ukiamua kumuhamisha mkeo kwa mabavu na kipigo juu, huku mkeo akiwa hakubali na kilio kikali, lazima majirani wataingilia.
 
Sio Boho

Siyo Beyonce tu.Ameishitaki serikali kwa taasisi na watu wote wakubwa waliowahi kuja Ngorongoro.Ni wengi sana,kina Bilgate,Melinda,na wengine wengi.Anasema Rise your voice to help the voiceless.
rise au raise mtusaidie ma linguistic.
 
Unamuhamishaje mkeo ndio tatizo. Unadhani ukiamua kumuhamisha mkeo kwa mabavu na kipigo juu, huku mkeo akiwa hakubali na kilio kikali, lazima majirani wataingilia.
Hahaha.. wakulima na wafugaji wa Kenya wakiiona hii post yako lazima wakucheke na kujipa matumaini kwamb bado kuna wajinga ambao wako humu mitandaoni kutetea masilahi yao na ya maboss wao. Ila nawahakikisha kwamb sio watanzania wote ni wajinga au mambumbu wa ardhi yetu kama wanavyofikiria. Wengi tunajitambua na tunasimama kama taifa na issue yoyote inayolihusu taifa. Na mwa hili la kuvamia ardhi yetu kupitia mgongo wa wamasai, wahesabu kuwa wameshindwa na wataendelea kushindwa zaidi hata kwa mengine.
 
Ni kweli kabisa watanzania wanajitambua hadi pesa ya umma ikitoka kwenda kwenye maendeleo wanasema ni pesa za rais, lakini deni linalopatikana sio la rais bali ni la nchi! Inshort kujitambua sasa hivi ni kuwa mzandiki na kuisifia serikali.
 
Wapi nimesema katembea? Nimesema ana damu ya kizungu ambalo ni kweli, sasa sijui unapanic nini mzee?

Wewe ndiyo hujatembea, siyo yeye. Ndiyo maana nikakuambia kamuulize Obama kama coloured people wanaonwa kama ni wazungu na wazungu.
 
Back
Top Bottom