Wazungu wamefanikiwa sana kututawala , its shame kuona mtu kama Maria Sarungi anapita kwenye kurasa za watu maarufu wa mataifa ya magharibi kuchafua sifa njema ya Taifa hili ambalo Baba yake alihudumu nafasi nyeti ya Waziri wa Ulinzi.
Maria ameshindwa kujengea hoja mawazo yake sasa hana tofauti na wale watu pale Kivu wanaobaguana Wacongo na Wanyarwanda kwa karne hii anayofanya Maria Sarungi ni jambo la kusikitisha sana.
Mtu kama huyu akipewa nafasi ndiye atakayetuuza mapema kwa mabwana zake anaowasujudia.
Suala la kuondoa Masai Ngorongoro ni suala mtambuka kama ilivyokuwa sheria ya iuwaondoa wahamihaji pale London.