ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Ndiyo huwa tunaita uanaharakati eenh? Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngorongoro masai yupi kahamishwa kwa nguvu? Pia hiyo picha aliyoitumia siyo ya wamasai waloliondo anaodai kuwa wanahmishwa kwa nguvu, kwa asiyeelewa anaweza kufikiri kuwa jamii nzima ya wamasai wanahamishwa kwenye makazi yao kwa nguvu.Wamasai Ni moja ya vivutio hapo Ngorongoro
Yuko sahihi
Kama movie ya Royal Tour , hakuleta matekeo yoyote Basi Samia hajui lolote kuhusu Utalii.
Na hii kitu ita chafua sekta ya utalii
Kujielimisha tena! Maasai must Go ndani ya Hifadhi ya Ngoro Ngoro na sababu zipo wazi, wakaanze makazi mengine Handeni na yameshatayarishwa,Mbona nikama wewe ndo umeandika utoto.Jielimishe kwanza alichokua amekikusudia kukiwakilisha kwa jamii .sio mambo yakuchapana kama alivyowaza wewe kitoto.
Ni kafala tuu hakoNi katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
View attachment 2265420
Sisemi nasapoti yanayoendela NgoroNgoro, ila Maria ni mweupe sana kichwani sijui kwanini huwa anapata airtime!
uko wanapopelekws wanakuwa waha au wachagaWasiondoe masai wote but wapunguze idadi tu. Masai ni urithi wa Dunia
kwani ni kina nani?Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
View attachment 2265420
Mbuyu huanza kama mchicha. Haya; Ngoja tusubiri kuona.Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
View attachment 2265420
Wewe ndio kiazi kabisa hivi kile wanachofanyiwa wamasai unaona kipo sahihi??!!mbona wao serikal wanadai ni iyari but wanashambulia hujiulizi??!!jiongeze weweAna matatizo ya akili huyu dada hili ni taifa huru lina sera na sheria zake za ndani katika kufanya mambo yake.
Nakingereza chako cha maji taka..huyo sio demu amekuzidi kila kitu..huyu dem ni mhaini serikali iondoe huu uchafu mapema at all cost kwa maslahi mapana ya taifa...
Sio kila MTU duniani anataka alipwe ujira kwa msaada wowote atakao ufanya !!Ananufaikaje na haya anayo yafanya
Ha haa mumewageuza wamasai kuwa sawa na yule Sarah Baartman lakini enzi hizi wazungu ndiyo wanakuja kuwaona wakiwa katika maeneo yao ya asili.Wasiondoe masai wote but wapunguze idadi tu. Masai ni urithi wa Dunia