Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

Maria Sarungi aishtaki Serikali ya Tanzania kwa Beyonce kuhusu suala la Ngorongoro

The truth shall remain true even if no one is doing it,
and lies will continue to be lies even if everyone is supporting it......

kwa lugha ya kikwetu - Ukweli utabaki kuwa kweli hata kama utapingwa, na uongo ni uongo tu hata kama utaungwa mkono.
 
Mbona Maria anakuza hili suala dogo liwe kubwa hivi kwani kuhama kupisha shughuli za kimaendeleo ni jambo la kushangaza kweli jamani.Shida akina Maria ni kutaka hela za wazungu bila kuangalia athari za mbele na huku ni kuhujumu uchumi wa Tanzania na hii kutaka kurudisha nyuma jitahada za serikali kwenye kujenga uchumi wake.
Hua Mimi nilichoshindwaga kuelewa mpaka Sasa Ni kwamba Ni kwann Hawa Wadada(Maria &Fatuma) hawaguswagi na System.

Hata kipindi kile maji yalipokua ya Moto sana wao walikua wanaogea tu bila kua na wasiwasi wa kuungua na kweli hawakuwahi kuungua isipokua misukosuko kdg kwa Fatuma...Au ndio system yenyewee!!
 
Anaingia kwenye black list, amekosa Mume wa kumstiri anataka kukosa na nchi ya kuhifadhi mwili wake. Muda mrefu amefanya biashara ya ukuwadi kwa mabinti wadogo aliowaita Mamiss sasa anataka kuikuwadia nchi kwa mabeberu.

Beberu wasubiri nchi kwa kukuwadiwa na Maria, wakati kila siku rais yuko huko kwao anaonesha roho tua?
 
Wazungu wamefanikiwa sana kututawala , its shame kuona mtu kama Maria Sarungi anapita kwenye kurasa za watu maarufu wa mataifa ya magharibi kuchafua sifa njema ya Taifa hili ambalo Baba yake alihudumu nafasi nyeti ya Waziri wa Ulinz...

Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake. Tukibaki jamii ya kukubaliana kila kitu, kila sera wakati nchi yetu ni masikini huo ni ujinga. Watu kwenye familia zetu tuna tofautiana sembuse nchi kubwa kama yetu.

Huyu dada mijadala yake haina hata wazungu! Wamejaa watu wa vyama na wana CCM kibao sasa wanaenda kufanya nini kwenye page yake kama wanakubaliana na wewe!🤔

Sisi tuliopo diaspora tunaona kila siku mijadala huku na nchi bado zinaenda mbele. Uzalendo sio unafiki! Kuna waliokuwa wanapongeza kila kitu hata mabaya wakati wa Magufuli leo hii ni walewale wanataka tuwe wanafiki.

Huyu Dada ni shujaa hapokei pesa ya kodi ya mlalahoi, haijaiba kura kama wabunge au kufisaidi chochote! Kujadili nchi ndiyo Uzalendo wenyewe huo. Tusisingizie wazungu matatizo yetu
 
 
Mbona Maria anakuza hili suala dogo liwe kubwa hivi kwani kuhama kupisha shughuli za kimaendeleo ni jambo la kushangaza kweli jamani.Shida akina Maria ni kutaka hela za wazungu bila kuangalia athari za mbele na huku ni kuhujumu uchumi wa Tanzania na hii kutaka kurudisha nyuma jitahada za serikali kwenye kujenga uchumi wake.
Unafahamu nambari ya akaunti ya benki anayopokelea malipo yake?
Ingelikuwa wewe ndiyo upo Loliondo wakati huu una makazi yako,maeneo yako kwa ajili ya shughuli zako tofauti uambiwe uhame na uendako huna hukujui,ungeondoka?

Mkuki kwa nguruwe ni mtamu ila kwa binadamu mchungu
 
Wazungu wamefanikiwa sana kututawala , its shame kuona mtu kama Maria Sarungi anapita kwenye kurasa za watu maarufu wa mataifa ya magharibi kuchafua sifa njema ya Taifa hili ambalo Baba yake alihudumu nafasi nyeti ya Waziri wa Ulinzi...
Kabla ya kumhukumu Maria, tuletee facts tuelewe vizuri (amefanya nini, wapi, kwa njia zipi, akishirikiana na nani, kinyume na katiba au sheria ipi).
 
CCM siwapendi ila wanachofanya wanaharakati kimeanza kuvuka mipaka aisee. Tupambane humu ndani, mpaka kutaka kukataza watalii kuja Tanzania! Way too much negativity.
 
mmegeuza ndio ukweli wenyewe.
Sio kwamb tumegeuza ndio ukweli.. Bali unachotakiwa kujua huu ndio ukweli wenyewe. Tanzania tumezungukwa na nchi nyingi tu kama vile Uganda, Zambia, Burundi, Congo na nyinginezo. Sasa jiulize mbona hizo zingine hatuzilaumu wala zenyewe hazitulaumu?

Je ni kwanini Kenya imeguswa zaidi na hili ila haijawahi kuguswa na mengine ambayo haina masilahi nayo? Watu wangapi wemeshahamishwa nchini hapa kutolewa sehemu moja kupelekwa sehemu nyingine tena wengi wao bila hata kufidiwa chochote je watetezi wa Kenya waliwasaidia nini?

Watu walipouwawa kule Pemba mwaka 2001 na kusababisha maelfu ya watanzania kuwa wakimbizi hao watetezi wa Kenya walikuwa wapi?

Ukweli ni kwamba katika hii EAC yetu. Kuna nchi mbili ambazo ni hatari kwa jumuiya nzima, nazo ni Rwanda na Kenya. Hao wengine wala hatuna matatizo nao, maana hawana tamaa na ardhi wala mali ya mtu.
 
Mkuki kwa nguruwe ni mtamu ila kwa binadamu mchungu
Thats true.

Na isitoshe nchi hii ina mapori mengi tu yasiyokaliwa na watu, huko tabora na kwingineko. Kwanini loliondo? Wamasai nao ni watu. Wana haki ya kuchagua mahali pa kuishi ndani ya nchi yao. Na si kuchaguliwa. Kuna watu wakiambiwa wakaishi mikoa fulani hawataki hata kusikia.

Makao makuu Kuhamia dodoma tu, kuna baadhi waliamua kuacha kazi. Haki ya kuishi popote izingatiwe. Kama wao wameamua kuishi na wanyama, na hawadhuriani, waachwe waishi.
 
Anaingia kwenye black list, amekosa Mume wa kumstiri anataka kukosa na nchi ya kuhifadhi mwili wake. Muda mrefu amefanya biashara ya ukuwadi kwa mabinti wadogo aliowaita Mamiss sasa anataka kuikuwadia nchi kwa mabeberu.
Achana nao hao, washakubali kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.
 
Sio kwamb tumegeuza ndio ukweli.. Bali unachotakiwa kujua huu ndio ukweli wenyewe. Tanzania tumezungukwa na nchi nyingi tu kama vile Uganda, Zambia, Burundi, Congo na nyinginezo....

Hizo nchi nyingine tulizopakana nazo raia wetu walihamishwa kwa mabavu tupime usemacho?
 
Beberu wasubiri nchi kwa kukuwadiwa na Maria, wakati kila siku rais yuko huko kwao anaonesha roho tua?

Maria tayari ni mkimbizi anachofanya ni kupaka rangi nyeusi ni kama mchawi anakesha na kaniki.
 
Back
Top Bottom