Maria Sarungi akamatwe, Maria Space ifungiwe

TAHADHARI: Kauli chafu na vitendo haramu dhidi ya Kiongozi mwema, huweza kumgeuza kiongozi huyo mwema kuwa Mtawala aitwaye Dikteta.

Mungu ibariki Tanzania.

Suphian Juma Nkuwi,
A concerned Citizen
Agosti 14, 2024
Unachosha sana na takataka nyingi ulizojaza humo. Hayo ndiyo maoni yangu.
 
Mawazo mgando kabisa...
Thread ya hovyo kabisa kabisa 😡 😡 😡
 
MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!!

Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021, mwezi wa kwanza tu hata hajajua korido za Ikulu alianza kumzodoa. ANA WIVU NA CHUKI na Rais wetu, mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huu nchini tangu tupate uhuru 1961.

Analazimisha Tanzania yetu ionekane ina mifarakano na machafuko. Kutwa humchongea Rais wetu kwa mataifa na Taasisi kubwa nje kwa kichaka cha uhuru wa Kujieleza. Uzuri ANAPUZWA.

Kuna uhuru wa Kujieleza ambao upo halali na ulioimarishwa tele na Rais Dkt Samia kwa mujibu wa Katiba yetu ibara ya 18,

na,

Kuna uhuru wa kueneza chuki, vitisho, kutwezana utu na kudhalilishana ambao ndio unafanywa na kuimarishwa na Mwanaharakati, Maria Sarungi kupitia MARIA SPACE yake katika mtandao wa Twitter (X).

Kutwa "anamshushua" Rais Dkt Samia kutii utawala wa Sheria ila yeye na wafuasi wake vinara wa kuvunja sheria kwa wanaeneza chuki na kutaka kumpindua Rais Dkt Samia.

Kiufupi hadi sasa Maria anastahili kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa mawili ama zaidi; makosa ya uhaini na makosa ya mitandao kwa kuvunja sheria zifuatazo;

Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cyber Crimes Act) ya mwaka 2015 sehemu ya 3 ambapo huwa anafanya makosa ya kimtandao ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo, zinazopotosha, zisizo sahihi, kwa lengo la kudhalilisha, kutishia, kutusi, kudanganya na kuchochea chuki baina ya wananchi na Rais na dola kwa ujumla.

Aidha kwenye uchochezi huo mitandaoni Maria ameleta tafrani nchini kupitia mitandao ya kijamii kinyume na kifungu cha 55 (1) (C) (d)( e) cha sheria ya Kanuni ya adhabu (penal Code) Sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022.

Kosa kubwa lingine zaidi analofanya Maria ni yeye mwenyewe na wafuasi wake kupitia Maria Space aliyoianzisha, kwa nyakati tofauti kuta kauli tata zisizohimilika za kuhamasisha maandamano ya kishari na migogoro inayolenga kuleta machafuko na kumpindua Rais Dkt Samia.

Mfano Agosti 12, 2024 kupitia Space yake alitangaza nia yake ya kuanzisha mafunzo kwa vijana wa CHADEMA kuwafunda namna ya kuanzisha na kuratibu MIGOGORO (RESISTANCE) dhidi ya Rais Dkt Samia na Serikali yake ili iondoke madarakani.

Hii ni kinyume na Vifungu vya 39 na 40 vya Sheria ya Kanuni za Adhabu vinavyoeleza matendo yanayoweza kutambulika kuwa ni makosa ya Uhaini pamoja na adhabu ya matendo hayo.

USHAHIDI wa makosa haya mawili ya uhaini na makosa ya mitandao umejaa tele mitandao hususani twitter (x) na YouTube kwenye online TV yake ya Mwanzo TV ambapo huwa anarekodi kila anachozungumza na wafuasi wake.

Kama tunavyofahamu Sheria ni msumeno, Tunaviomba vyombo vya Ulinzi na Usalama vimkamate popote alipo hata huko Nairobi alipojificha kwa Sheria za Kimataifa aletwe nchini kujibu tuhuma hizi na kuadhibiwa kwa mujibu wa Sheria na KUFUNGWA MARIA SPACE.

Ndugu zangu Watanzania;

Wasiturubuni watu wa aina ya Maria wanaotufitini ili waendelee kulipwa posho na vikundi visivyo na nia njema na nchi yetu kwa manufaa ya familia zao. Usalama wa nchi yetu ni uhai wetu. Machafuko yakitokea hayataangalia chama, dini wala ukanda wako.

Itoshe sote kumshukuru Mhe. Rais Dkt Samia kwa kutuletea mageuzi makubwa katika Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Kujieleza tukiachana na maboresho yasiyomithimika ya sekta zote za uchumi.

Amekubali Maridhiano ya makundi yote, Mchakato wa Katiba Mpya, Mabadiliko ya Sheria za vyama vya Siasa, Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi, kurejeshwa wanasiasa waliokimbia nchi, kulipwa mafao kwa wanasiasa kama Tundu Lissu, Uwajibikaji wa watumishi, Ajira mpya, mshikamano baina yetu n.k

Mama "hana baya" tumtunze aendelee kututunza kwa kutuongoza vema hadi 2030, tusiufuje uungwana wake kwa maslahi yetu binafsi kama akina Maria na CHADEMA ambao bila utulivu na migogoro dhidi ya Rais na Serikali ya CCM hawawezi kuendesha maisha yao.

TAHADHARI: Kauli chafu na vitendo haramu dhidi ya Kiongozi mwema, huweza kumgeuza kiongozi huyo mwema kuwa Mtawala aitwaye Dikteta.

Mungu ibariki Tanzania.

Suphian Juma Nkuwi,
A concerned Citizen
Agosti 14, 2024

Wewe Tangu ameingia madarakani Huyo mama yako uliwahi kusema Baya lake hata moja au ni malaika?
 
Pitia na ile ibara ya 18,freedom of expression.
 
MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!!

Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021,
Ni kama wewe hujawahi ona mapungufu ya Rais ukashauri. Mnagawana majukumu, wewe sifia, yeye ataponda hamna kuingiliana.
 
Duh, yametimia, kweli kabisa huyu Suphian Juma Nkuwi ametimiza jambo lake.Sasa Maria kama ana makosa apelekwe mbele ya Sheria za Kenya.
 
Kuhitimisha ni kuwa mleta mada hafikirii kupitia kichwa may be kiuno maana members wengi wamekataa utopolo wake NIKIWEMO
 
Chama kikishakuwa na watu wa namna hii hiyo ni ishara kuwa chama hicho ndo kimefikia mwisho.

Hawa ndo vijana wa CCM na hivi ndo vitu wanavyoandika mtandaoni. Kama hivi ndo vitu wanavyoandika wazi wazi sasa huko kwenye vikao vyao vya ndani wanapanga yapi?
 
Ndiyo maana huteuliwi kwa record yako hii
 
Attachments

  • JamiiForums1438962745.jpeg
    JamiiForums1438962745.jpeg
    129.1 KB · Views: 2
  • JamiiForums1049284733.jpeg
    JamiiForums1049284733.jpeg
    75.4 KB · Views: 2
  • downloadfile-41.jpg
    downloadfile-41.jpg
    19.3 KB · Views: 2
  • downloadfile-8.jpg
    downloadfile-8.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom