Maria Sarungi akamatwe, Maria Space ifungiwe

TAHADHARI: Kauli chafu na vitendo haramu dhidi ya Kiongozi mwema, huweza kumgeuza kiongozi huyo mwema kuwa Mtawala aitwaye Dikteta.

Mungu ibariki Tanzania.

Suphian Juma Nkuwi,
A concerned Citizen
Agosti 14, 2024
Unachosha sana na takataka nyingi ulizojaza humo. Hayo ndiyo maoni yangu.
 
Mawazo mgando kabisa...
Thread ya hovyo kabisa kabisa 😡 😡 😡
 
Wewe Tangu ameingia madarakani Huyo mama yako uliwahi kusema Baya lake hata moja au ni malaika?
 
Pitia na ile ibara ya 18,freedom of expression.
 
MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!!

Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021,
Ni kama wewe hujawahi ona mapungufu ya Rais ukashauri. Mnagawana majukumu, wewe sifia, yeye ataponda hamna kuingiliana.
 
Duh, yametimia, kweli kabisa huyu Suphian Juma Nkuwi ametimiza jambo lake.Sasa Maria kama ana makosa apelekwe mbele ya Sheria za Kenya.
 
Kuhitimisha ni kuwa mleta mada hafikirii kupitia kichwa may be kiuno maana members wengi wamekataa utopolo wake NIKIWEMO
 
Chama kikishakuwa na watu wa namna hii hiyo ni ishara kuwa chama hicho ndo kimefikia mwisho.

Hawa ndo vijana wa CCM na hivi ndo vitu wanavyoandika mtandaoni. Kama hivi ndo vitu wanavyoandika wazi wazi sasa huko kwenye vikao vyao vya ndani wanapanga yapi?
 
Ndiyo maana huteuliwi kwa record yako hii
 

Attachments

  • JamiiForums1438962745.jpeg
    129.1 KB · Views: 2
  • JamiiForums1049284733.jpeg
    75.4 KB · Views: 2
  • downloadfile-41.jpg
    19.3 KB · Views: 2
  • downloadfile-8.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…