Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

Kumbe safari za Rais ni siri? Unawaficha unaenda wapi waliokuchagua?? Sasa ni Rais wa akina nani??
 
Ujinga mtupu ,rais akitaka kusafiri inakuwa siri? Hakuna maandalizi ya awali kwani? Si lazima balozi wajulishwe huko nchi anapoenda? Kwani hakuna staff huku? Viwanja vya ndege wanajua kwamba rais atasafiri hivyo wanaadaaa mazingira vizuri.
 
Huyo huyo Maria alisema rais kapigwa ban kwenda usa
 
Ujinga mtupu ,rais akitaka kusafiri inakuwa siri? Hakuna maandalizi ya awali kwani? Si lazima balozi wajulishwe huko nchi anapoenda? Kwani hakuna staff huku? Viwanja vya ndege wanajua kwamba rais atasafiri hivyo wanaadaaa mazingira vizuri.
Wanataka Samia awe anapotea kama Ninja 🥷
 
Ujinga mtupu ,rais akitaka kusafiri inakuwa siri? Hakuna maandalizi ya awali kwani? Si lazima balozi wajulishwe huko nchi anapoenda? Kwani hakuna staff huku? Viwanja vya ndege wanajua kwamba rais atasafiri hivyo wanaadaaa mazingira vizuri.
Yaani kabisa na Wewe unategemea huyu Mpumbavu niliyemfundisha Chuo Ilala na hata hakuwa na Akili darasani aweze kujua haya mambo makubwa kwa Upeo wake ayajue?
 
Ujinga mtupu ,rais akitaka kusafiri inakuwa siri? Hakuna maandalizi ya awali kwani? Si lazima balozi wajulishwe huko nchi anapoenda? Kwani hakuna staff huku? Viwanja vya ndege wanajua kwamba rais atasafiri hivyo wanaadaaa mazingira vizuri.
Kwa hiyo hao wa viwanja vya ndege ndio walimpa taarifa huyo mama
 
Watoto mnachekesha kweli yaani ziara nyeti ya Rais wa nchi anatoka nchi moja kwenda nchi nyingine hata wananchi tukiipata kabla yawezi shida iko wapi?

Kwa usalama wa Rais na Taifa lazima tujue ili iwe rahisi kuthibiti usalama

Alarm call kwa system za kiusalama

Kama hujui kuhusu Maria Salungi labda ila ukweli ndio wale wale tu na Fatuma lengo lao na kazi yao moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…