Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

Nakuunga Mkono
 
Sheria ipi imevunjwa kwa kufahamu ratiba ya safari za mkuu wa nchi?

Kiongozi ni public figure. Kama anatumia pesa zetu lazima tufahamu hayo na kama anasafiri kwa pesa zake basi siri inamhusu

By The Way
Waandaaji waliweka tangazo la ushiriki wake kwenye kikao.

Uwe unasoma na kutafiti kabla hujakurupuka
 
Asante kwa majibu yako mazuri mheshimiwa.naomba kuuliza swali la nyongeza je media hupewa taarifa wiki moja kabla juu ya safari ya Mheshimiwa Rais?
it depends ,kuna media husika na media shiriki na taasisi shiriki hupewa taarifa hata mwezi mmoja kabla ili kuwaandaa watu wake watakaoshiriki ziara hiyo,halafu media husika hupewa press released few days before。
P
 
it depends ,kuna media husika na media shiriki na taasisi shiriki hupewa taarifa hata mwezi mmoja kabla ili kuwaandaa watu wake watakaoshiriki ziara hiyo,halafu media husika hupewa press released few days before。
P
Nashukuru nimekuelewa.kwa hiyo na Maria Sarungi naye ni miongoni mwa hizo Media? Au hizo Media ndio zinavujisha taarifa na kumpa Maria?
 
Ukiona hivo ujue huyu mama hapendeki na wasaidizi wake kama ambayo hapendeki na watanzania wenye akili.Siku zote ukifanya kazi chini ya kiwango lazima hautapendeka.Maria sarungi for presidency
 
Ukiona hivo ujue huyu mama hapendeki na wasaidizi wake kama ambayo hapendeki na watanzania wenye akili.Siku zote ukifanya kazi chini ya kiwango lazima hautapendeka.Maria sarungi for presidency
Utaendelea kuhangaika na kuhangaika mpaka utapata ukichaa mwaka huu.
 
Tatizo lako wewe kikaragosi ni kutaka kila wakati uwe mtoa taarifa wa kwanza, haina shida wewe toa bandiko lako la wamerekani wakibubujikwa machozi kumuona Samia, tutalisoma tu.
 
Nashukuru nimekuelewa.kwa hiyo na Maria Sarungi naye ni miongoni mwa hizo Media? Au hizo Media ndio zinavujisha taarifa na kumpa Maria?
Maria ni mdogo wangu wa primary moja, ni very bright girl,amesomea media vyuo vya kimataifa na anamiliki an international media company ,compass communications, she is so good and well connected
P
 
Samaki huoza kuqnzia kichwani,kama maofisa wa idara ya kijasusi, wanajitambulisha mtaani, "unajua Mimi Nani" Wakiwa na bastora zao, unategemea nini,
Tunapigsna nao vikumbo kugombea madem mtaani, tunakesha nao tukipiga mapombe, nchi imeoza hii, kila mtu kaota masharubu!
Every thing is for sale,
Watumishi wachini,wanaona wakubwa wao wanavyoiba, na wao wanauza informations,
 
Kwa mwaka kuna vikao vingapi na kwa mwaka wanafanya mambo mangapi kuzidi vikao?
Kwenda Hanang palipotokea land slide walikaa kikao?
Kama hujui ni bora uulize usionekane mjinga boss.
 
Swali langu ni je nani anayevujisha siri na kumpatia Maria Sarungi? Kwa Malengo gani? Kwa maslahi gani kwa Taifa letu?
Inawezekana Ukiwa na wasaidizi wengi na ambao upatikanaji wao, "binafsi ", hukuzingatia taratibu rasmi!! Mambo kama haya hayakwepeki. Ukizingatia uwiano, mfano 50/50, kwa Kila jambo utaumiza wengi bila kukusudia. Na twaumia sana!
 
maccm ikulu ndo wanaompa dili nao
 
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Upo Sahihi kwa pembe uliyopo kutazama jambo hili. Nakuunga Mkono Hata hivyo, Bashe sauti yake haitoshi kweli kuwa semea wanyonge kwenye hiyo dialogue? (Just curious).

Nimeona Marais wawili watashiriki kusungumza kwenye hiyo dialogue.

===
 
Lucas Mwashambwa huelewi mambo ya siasa.
Ziara ya siri ni kama Rais Samia anataka kwenda kutembelea vikosi vyetu DRC.
Hakuna siri katika safari za viongozi.
Tulikuwa tunasikia Malkia Elizabeth atakwenda Australia October.
Na hiyo safari inatangazwa Januari.
 
Wewe Lucas ambaye kila kukicha upo mtandaoni kumsifia Rais Samia kwa utendaji ulio tukuka,hebu nijibu maswali yafuatayo machache tu kuhusu serikali ya Rais Samia:-
1.Hivi tuseme haoni kanchi kadogo kama Burkina Faso na Rais wake Traore kanachochanya,Tanzania na resources zake zote tunashindwa wapi?
2.Kwa nini miaka nenda miaka rudi CAG anatoa report kuhusu wizi wa fedha za wananchi, lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa?
3.Katika hali ya kushangaza elimu yetu inazidi kudidimia lakini hakuna hatua yeyote inayochukukuliwa.Matokeo ya darasa la Sabato ya Shule za serikali 2024 ukilinganisha na Shule binafsi yanaonyesha udhaifu huo mkubwa.Kama Shule binafsi zinaweza,serikali kwa nini ishindwe?Hapana hapa panaonyesha ubaguzi wa wazi kati ya walionacho na walionacho.
4.Kinachoitwa tume huru hivi ni tume huru kweli, huku ikiwa na watumishi wa serikali tupu?Niambie Mwashamba,mwajiriwa atafanyaje kinyume na mwajiri wake?Huku si kuwafanya Watanzania mazombie kweli,na Watanzania wasipokwenda kujiandikisha na kupiga kura mamlaka itatafuta mchawi?

Mwashamba yako mengi,ya hovyo, lakini naomba unijibu hayo manne machache tu.Hivi wewe huoni udhaifu mkubwa wa serikali ukashirikiana na wenzio kuikosoa?Lakini nikukumbushe Mwashamba, kwamba wewe ni Mtanzania mwenzetu na tunakuona kama msaliti.Unatoa sifa where it is not due,unajidhalilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…