Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

Ndani ya Serikali kuna watanganyika tena wengi tu ambao wana uchungu na nchi yao, kingine kumbuka ndani ya CCM mambo si swari kama mnavyodhani hasa kuelekea 2025 na dhana ya form moko. Mule kuna watu wanalilia vifuani ila hawana pa kusemea so kumtonya dada maria inakuwa ahueni kwao.

Tuendelee kupiga mchuzi nyama tunazikaribia.
 
Siri zilikuwa enzi za makaratasi siyo era hii ya zeros na ones
 
Anaenda mareka kufanya nini huyu mama. Atakua anaenda kutuuza kwa mabeberu wamarekani. Tunajua hakuna jema lenye maslahi na umma wa wananchi kutokea marekani ila mipango ya unyonyaji ya kufaidisha vigogo tu na na maslahi ya wamarekani.
Kuhusu Maria sarungi huyu kwa kila hali inaelekea ni jasusi wa wamarekani kwa hivyo atakua amepewa mipango ya hiyo safari na mabwana zake.
 
Asante sana mkuu Pascal kwa ufafanuzi mzuri, wewe ni mwanaccm unayejielewa hatuna shaka na uwezo wako, ila huyu Lucas Mwashamba ni mzigo kwenye chama chenu msaidieni.
 
Siyo Maria tu hata Mange naye alikuwa na taarifa hiyo na aliripoti advance delegation ya Abdul na Wanu, kwani wewe tatizo lako nini mbona unateseka sana, naona unataka kuwachongea wana usalama kuwa hawako makini na kazi, hiki kiherehere chako kitakuja kukuweka pabaya.
 
Sawa Mkuu Mwandishi Nguli wa habari na Wakili Msomi.

Naomba kukuuliza swali.kwa hiyo na wewe ulikuwa na taarifa wiki moja kabla kuwa Mama yetu mpendwa atatua Marekani kesho?
Mbona maelezo yake yanajibu kabisa hili swali lako.
 
Duh, kwa hiyo hata Machawa hampewi taarifa? Nyie ni mapambio tu!!
 
Unampatia sana huyu chawa, anajiona yeye pekee ndiye ana haki ya kuandika habari za Rais humu. ulipata tabu sana kufundisha ngumbaru kama huyu.
 
Unampatia sana huyu chawa, anajiona yeye pekee ndiye ana haki ya kuandika habari za Rais humu. ulipata tabu sana kufundisha ngumbaru kama huyu.
Mkuu umenifanya Nicheke mpaka basi. Cha kushangaza anajipendekeza huko ila Mama wala hampi Uongozi wowote.
 
Mkuu umenifanya Nicheke mpaka basi. Cha kushangaza anajipendekeza huko ila Mama wala hampi Uongozi wowote.
Kuna siku nilisema humu kuwa Mapambio yakizidi sana yanaanza kuonekana ni matusi sasa
 
Yani kinachokuumiza kichwa hapo ni Maria kapata wapi taarifa?

Wewe na Sarungi mko level tofauti ukilijua hilo hutaumia.
 
Yaani kama na wewe ulifundisha basi walimu walikufa wote.
wewe ufundishe kabisa mtu? Wewe ninae kujua mimi😂😂
 
Yaani kama na wewe ulifundisha basi walimu walikufa wote.
wewe ufundishe kabisa mtu? Wewe ninae kujua mimi😂😂
Hata mimi nilimwambia hivyo hivyo kuwa inawezekanaje chizi akawa mwalimu na kuwa na uwezo wa kumfundisha mtu?
 
Unampatia sana huyu chawa, anajiona yeye pekee ndiye ana haki ya kuandika habari za Rais humu. ulipata tabu sana kufundisha ngumbaru kama huyu.
Embu wewe na huyo mjinga mwenzako mngekaa pembeni muache wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…