and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Kiki ya nyokweKiki
Vipi kama angekuwa Mama yako MkuuHawajamlawiti?
Pole sana kwake kwa yaliyomfikaWakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.
View attachment 3199978yu
Hata Mimi nimewazapo😂Sizani kama awaja kashika ata papuchii
Probably she is already fixed.Thanks Kenyan government.. Wameshindwa kumvusha boda?
shukrani pia lile shirika pale kenya wameeleza wazi kuwa mkosoaji wa serikali ya saa 100 ametekwa na mijanaume mitatu ikiwa na bastora naona ruto aliingia kaziniMungu ni mwema, shukrani kwa kelele za Watanzania wote.
Yeah!...huenda atazungumzia kilichotokea akitulia.Ahame Kenya sasa..
Hao wapuuzi kwa namna yeyote wameshindwa kutekeleza unyama wao...
Tutapata story kamili..
Kagame asingekubali wamvushe boda aingizwe nchini mwake.Thanks Kenyan government.. Wameshindwa kumvusha boda?
serikali ya chama cha mapinduzi inanuka mavi........
Tena mafi ya ulanziserikali ya chama cha mapinduzi inanuka mavi........
Kelele za Tanzania zikalete impact Kenya? Ingekuwa kelele za watanzania zina impact mzee Ali Kibao angekuwa hai leoKelele za watanzania?
Shukuru serikali ya kenya!!
Mara ngapi mnapiga kelele kwa wanaotekwa nchini lakini mnaishia kupewa maiti.