Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nadhani idara ya usalama Kenya hawajataka kujichafua kwa hili, na imepelekea wajuba wamuache aende...
Kwa maana wasingetoboa, zingepigwa border check up za kufa mtu, halafu mwisho wa siku ikawa noma.

Na inaelekea walikubaliana mwanzoni lakini baada ya watu kupaza sauti, wakaona dili imeharibika, utakuta kina Lissu walishavuta waya hadi kwa Ruto..
Hisia zangu: Kilichomuokoa Mary Ni kuzaliwa royal family.
Angekuwa mtoto wa mtu wa kawaida, baba yake hajagusa wadhifa mkubwa ingekuwa imeisha habari yake.
Vijana toka familia hoehae wasiige tembo kunya 'mafi' makubwa. Wajifunze kwa Soka, Beniii, aliyechoma naniliu, n.k.
 
Swali la kipumbavu, wenye mamlaka ni kina nani?
Ety swali la kipumbavu 😂

Em leteni ushahidi kuwa JPM anahusika na utekaji na uuaji wakati akiwa madarakani pia fanyeni marejeo na mambo yanayoendelea sasa
 
Watu mnapredict everything
Mkuu ndivyo ilivyo...
Idara ya usalama kumtafuta mtu nchi nyingine lazima wapate ruhusa, kwa sababu Kenya juzi hapa, Besigye kakamatwa kapelekwa hadi Uganda.

Na wangekaidi kumuachia Maria, hapo wangekamatwa hao watekaji halafu ikawa noma, wangechapika ile noma.
Hapo najua kuna raia wamevuta waya halafu wamepiga bonge la biti hadi Kenyans wakaona mission iwe failed tu..

Cause hio michongo ya kutekana kwa KE ni kujiharibia..
 
Ety swali la kipumbavu 😂

Em leteni ushahidi kuwa JPM anahusika na utekaji na uuaji wakati akiwa madarakani pia fanyeni marejeo na mambo yanayoendelea sasa
Bado hoja ya kipumbavu, kati ya wote ambao walitekwa wakati wa utawala wa JPM ni yupi ambaye serikali yake ilifanya uchunguzi kujua nini kilichotokea? Ushahidi kitabu cha Eric Kabendera kuwa JPM alimbangua risasi ya kichwa, kama unabisha tuambie Ben Saanane yuko wapi?

Marejeo ya mambo yanayoendelea sasa yanarelate vipi kumsafisha muuaji JPM?
 
Hawa wa sasa Wanaotekwa na kuuawa kuna uchunguzi umefanyika?
 
Back
Top Bottom