Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu ndivyo ilivyo...
Idara ya usalama kumtafuta mtu nchi nyingine lazima wapate ruhusa, kwa sababu Kenya juzi hapa, Besigye kakamatwa kapelekwa hadi Uganda.

Na wangekaidi kumuachia Maria, hapo wangekamatwa hao watekaji halafu ikawa noma, wangechapika ile noma.
Hapo najua kuna raia wamevuta waya halafu wamepiga bonge la biti hadi Kenyans wakaona mission iwe failed tu..

Cause hio michongo ya kutekana kwa KE ni kujiharibia..
Watu mnajua sana
 
Mkuu huyo mtu alifanya ufirauni mwingi ingawa kuna mazuri yake pia.

Hauwezi kusema alisingiziwa kuna mengine alifanya yeye na genge lake.

1.Kuuawa kwa Ben watch eight
2.Assassination attempt - TAL
Hawa wa sasa Wanaotekwa na kuuawa wanafanyiwa hvy na JPM kwa njia ya online akiwa kaburini au?
 
Hisia zangu: Kilichomuokoa Mary Ni kuzaliwa royal family.
Angekuwa mtoto wa mtu wa kawaida, baba yake hajagusa wadhifa mkubwa ingekuwa imeisha habari yake.
Vijana toka familia hoehae wasiige tembo kunya 'mafi' makubwa. Wajifunze kwa Soka, Beniii, aliyechoma naniliu, n.k.
Mkuu rejea Imrani Kombe aliuawa na polisi...
Hao watu wakitaka kukumaliza wanakumaliza tu, lakini pia nakubaliana na wewe..
 
Maria Sarungi aliyethibitishwa kutekwa na watu wenye silaha eachiwa na watu hao na yupo kwake japo mwenye hofu kwa kujibu wa wanahabari mbalimbali wa kenya.

Maria Sarungi ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali za Tanzania ile ya Magufuli na hizi ya sasa ya Samia aliripotiwa kutekwa jijini Nairobi leo jioni

USSR
 
😂 JPM mlisema katili, amekufa ila mambo yanaendelea ety bado katili 😂 labla huo ukatili anafanya online akiwa kaburini
Aacha utoto, kwani mrithi wake akitaka kuendeleza mazuri na mabaya ya mtangulizi wake nani wa kumkataza?
 
Back
Top Bottom