Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.

View attachment 3199978yu
Haisemekani.

Ni kweli mchumba wa marehemu meko na kasongo wamemuachia Maria

Kinachotakiwa inabidi Maria ahamie nchi nyingine hapo Keny sio safe tena
 
Mama njoo TZ tupambane pamoja - hakuna haja tena ya kuongoza mapambano kwa remote.
 
Hii movie yake mbona kama inaelekea kubuma?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…