Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kizazi chake kisihusishwe kwenye madhambi ya baba/mama. Imeandikwa, "mwana hatoridhi dhambi za babaye wala baba hatoridhi dhambi za mwanae, kila roho itendayo dhambi ndio itakayo KUFA" Tuishi humo
Mkuu mbona umegeuza maneno?

Bwana huwapatiliza wana wa mtenda maovu hadi kizazi cha nne.

Hilo ndilo neno la Mungu.

Kila unachofanya kina impact kwenye uzao wako.

Kule kisiwa cha Mafia kuna mzee mmoja alikuwa na cheo serikalini miaka ya 90 hadi 2000.

Yule mzee amewavua chupi wanawake wengi sana. Wengine akizaa na kutelekeza, alioa na kuacha takribani wanawake sita.

Yule mzee alijiona kidume sana.

Now see what is happening now.

Ana watoto wanne wa kike wote wameachwa, wametelekezwa na watoto wao. Wale wasichana wanaishi na baba yao wanafirwa na kufanya ufusika ndani mwa Baba yaona yeye akijua hadi wanaume wanagombania humo ndani wakigonganishwa kweny3 list. Yule mzee amepata Depression ana maumivu ambayo hayamithiriki. Na hana cha kuwafanya wale mabinti zake.

Anavuna alichopanda.
 
All in all; watoto hawawezi kurithi madhambi ya baba yao. Kama baba/mama kaua sana, haiwezi kwenda kwa watoto wake abadani. Mfano ulioutoa ni wa kitabia ambao umepelekea kwenye dhambi. Watoto wa Hitler wana shida gani? Mimi siungi mkono eti watoto say wa Magufuli, JK or yeyote eti waje warithi madhambi ya baba zao, hapana. Kila mtu abebe msalaba wake
 
Akili za kushikiwa hizi, unapenda hadi unakataa kweli.
Nakataa ukweli upi? Wa kuuawa kwa Ben au kupigwa risasi Lissu? Huyo mtu kaumiza watu wengi mkimbebabeba mtafanya watu watekwe kwa kumpa makavu live.

Watu waliokotwa kwenye viroba sana awamu yake.
 
Raia wanasema JPM anahusika kwenye tukio la Sativa 😂 ety hata hili la Sarungi pia JPM anahusika 😂
Haa haa ha. Halafu tukio la Ben Saanane (according to Kabendera) halina tofauti hata moja na tukio la Sativa, sema la Sativa gharama kubwa sana ilitumika, kutoka Kimara tu karakana then Arusha baadae mbuga ya Katavi. Dogo ana Mungu wake, nae ilikua apotee mazima
 
Nakataa ukweli upi? Wa kuuawa kwa Ben au kupigwa risasi Lissu? Huyo mtu kaumiza watu wengi mkimbebabeba mtafanya watu watekwe kwa kumpa makavu live.

Watu waliokotwa kwenye viroba sana awamu yake.
Mkuu hujanielewa nawazungumzia hawa wajinga wanaomtetea, mimi na wewe tuko pamoja soma post zangu kuna juha mmoja namuelimisha
 
Hata simtetei mkuu nilikuwa namuelewesha jamaa maoni yangu kati ya Maza na Magu nani katili? Ali Kibao, Chaula, Soka na wenzake wawili,juzi uchaguzi wa serikali ya mtaa imeondoka na watu ,,hapo sijazungumzia wale wametekwa na kurudishwa, uhuni haujaisha hata kidogo ndiyo umekuwa zaidi.

Wote mizinguo ila Magu ashazidiwa. Huu ni msimamo wangu kabisa. (Hapo sijagusa hata WaMassai)

Wanasiasa wanashindwa kuelewa kwamba hauwezi kunyamazisha watu wasiongee ni kama mchanga kiganjani kadri unavyoubinya ndivyo unavyozidi kutoka ,serikali kutumia nguvu kubwa kunyamazisha wanaharakati na wakosoaji ndivyo wanavyozidi kuibuka ,JIWE aliona akimuua Ben ndiyo atanyamazisha wanaharakati lakini la hasha ndivyo wanazidi kuibuka kuwa wengi.

Awamu ya JIWE wameokota sana miili kwenye viroba lakini wapi wakosoaji ndiyo wanazidi ,kwasasa kuna Magoti ,Sativa ,ngurumo ,maria ,mange ,Thobias Marandu,Alphoce Lusako,Mdude Sumu ya NYIGU 7X70 etc
 
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐🌸
 
Kabisa huwezi zuia hizi mambo, na washajikatia tamaa.Mpaka wanaamua kushirikiaana na viongozi wa nchi jirani
 
Back
Top Bottom