Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Inasikitisha sana mkuu 😂Never argues with a fool, he'll pull you down down to his level and beat you with experience. And I have proved you are experienced fool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana mkuu 😂Never argues with a fool, he'll pull you down down to his level and beat you with experience. And I have proved you are experienced fool
Mama yangu ni wewe au leo unanikataa baada ya kumpata bwana mpya atakuacha akikujua una mtoto mkubwa kama mimi?Kamuulize mama yako mkuu atakueleza vizuri Ben aliko!
CCM na vijana wao wengi akili zipo kwenye makalioVipi kama angekuwa Mama yako Mkuu
Mkuu mbona umegeuza maneno?Kizazi chake kisihusishwe kwenye madhambi ya baba/mama. Imeandikwa, "mwana hatoridhi dhambi za babaye wala baba hatoridhi dhambi za mwanae, kila roho itendayo dhambi ndio itakayo KUFA" Tuishi humo
Noma sanaKuna mazuzu ya CCM hapo juu yanasema ni kiki .
Wakati dakika 30 zilizopita Amnesty Kenya wamepandisha CCTV footage za watekaji.
Kabisa.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Mchuzi wa mbwa kwenye moja na mbili😂Hawajamlawiti?
Eeehh aiseehhKuna mazuzu ya CCM hapo juu yanasema ni kiki .
Wakati dakika 30 zilizopita Amnesty Kenya wamepandisha CCTV footage za watekaji.
All in all; watoto hawawezi kurithi madhambi ya baba yao. Kama baba/mama kaua sana, haiwezi kwenda kwa watoto wake abadani. Mfano ulioutoa ni wa kitabia ambao umepelekea kwenye dhambi. Watoto wa Hitler wana shida gani? Mimi siungi mkono eti watoto say wa Magufuli, JK or yeyote eti waje warithi madhambi ya baba zao, hapana. Kila mtu abebe msalaba wakeMkuu mbona umegeuza maneno?
Bwana huwapatiliza wana wa mtenda maovu hadi kizazi cha nne.
Hilo ndilo neno la Mungu.
Kila unachofanya kina impact kwenye uzao wako.
Kule kisiwa cha Mafia kuna mzee mmoja alikuwa na cheo serikalini miaka ya 90 hadi 2000.
Yule mzee amewavua chupi wanawake wengi sana. Wengine akizaa na kutelekeza, alioa na kuacha takribani wanawake sita.
Yule mzee alijiona kidume sana.
Now see what is happening now.
Ana watoto wanne wa kike wote wameachwa, wametelekezwa na watoto wao. Wale wasichana wanaishi na baba yao wanafirwa na kufanya ufusika ndani mwa Baba yaona yeye akijua hadi wanaume wanagombania humo ndani wakigonganishwa kweny3 list. Yule mzee amepata Depression ana maumivu ambayo hayamithiriki. Na hana cha kuwafanya wale mabinti zake.
Anavuna alichopanda.
Nakataa ukweli upi? Wa kuuawa kwa Ben au kupigwa risasi Lissu? Huyo mtu kaumiza watu wengi mkimbebabeba mtafanya watu watekwe kwa kumpa makavu live.Akili za kushikiwa hizi, unapenda hadi unakataa kweli.
Haa haa ha. Halafu tukio la Ben Saanane (according to Kabendera) halina tofauti hata moja na tukio la Sativa, sema la Sativa gharama kubwa sana ilitumika, kutoka Kimara tu karakana then Arusha baadae mbuga ya Katavi. Dogo ana Mungu wake, nae ilikua apotee mazimaRaia wanasema JPM anahusika kwenye tukio la Sativa 😂 ety hata hili la Sarungi pia JPM anahusika 😂
Kwahy hao wanaofanya hvy wametumwa na nan
Mkuu hujanielewa nawazungumzia hawa wajinga wanaomtetea, mimi na wewe tuko pamoja soma post zangu kuna juha mmoja namuelimishaNakataa ukweli upi? Wa kuuawa kwa Ben au kupigwa risasi Lissu? Huyo mtu kaumiza watu wengi mkimbebabeba mtafanya watu watekwe kwa kumpa makavu live.
Watu waliokotwa kwenye viroba sana awamu yake.
Hata simtetei mkuu nilikuwa namuelewesha jamaa maoni yangu kati ya Maza na Magu nani katili? Ali Kibao, Chaula, Soka na wenzake wawili,juzi uchaguzi wa serikali ya mtaa imeondoka na watu ,,hapo sijazungumzia wale wametekwa na kurudishwa, uhuni haujaisha hata kidogo ndiyo umekuwa zaidi.
Wote mizinguo ila Magu ashazidiwa. Huu ni msimamo wangu kabisa. (Hapo sijagusa hata WaMassai)
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐🌸Wanasiasa wanashindwa kuelewa kwamba hauwezi kunyamazisha watu wasiongee ni kama mchanga kiganjani kadri unavyoubinya ndivyo unavyozidi kutoka ,serikali kutumia nguvu kubwa kunyamazisha wanaharakati na wakosoaji ndivyo wanavyozidi kuibuka ,JIWE aliona akimuua Ben ndiyo atanyamazisha wanaharakati lakini la hasha ndivyo wanazidi kuibuka kuwa wengi.
Awamu ya JIWE wameokota sana miili kwenye viroba lakini wapi wakosoaji ndiyo wanazidi ,kwasasa kuna Magoti ,Sativa ,ngurumo ,maria ,mange ,Thobias Marandu,Alphoce Lusako,Mdude Sumu ya NYIGU 7X70 etc
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.
View attachment 3199978yu
Nimeona analia Lia huko baada ya kupatikana tena wamemstahi tuu vinginevyo angejuta.
Sasa analia nini ikiwa anajua kabisa anafanya kazi ya hatari? Ujue wanashangaza sana.
View: https://www.instagram.com/reel/DEvFtdUuwyK/?igsh=YW1sbnVpazR0bTlu
Kabisa huwezi zuia hizi mambo, na washajikatia tamaa.Mpaka wanaamua kushirikiaana na viongozi wa nchi jiraniWanasiasa wanashindwa kuelewa kwamba hauwezi kunyamazisha watu wasiongee ni kama mchanga kiganjani kadri unavyoubinya ndivyo unavyozidi kutoka ,serikali kutumia nguvu kubwa kunyamazisha wanaharakati na wakosoaji ndivyo wanavyozidi kuibuka ,JIWE aliona akimuua Ben ndiyo atanyamazisha wanaharakati lakini la hasha ndivyo wanazidi kuibuka kuwa wengi.
Awamu ya JIWE wameokota sana miili kwenye viroba lakini wapi wakosoaji ndiyo wanazidi ,kwasasa kuna Magoti ,Sativa ,ngurumo ,maria ,mange ,Thobias Marandu,Alphoce Lusako,Mdude Sumu ya NYIGU 7X70 etc
Bc kumbe JPM hakuwa sababu ya utekaji eeeWatekaji ndiyo wanajua nani aliyewatuma maana maswali yao kwa wanaowateka wanawaambia waache kamdomo na kuongea sana.