King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kabisa huwezi zuia hizi mambo, na washajikatia tamaa.Mpaka wanaamua kushirikiaana na viongozi wa nchi jirani
Lakini ndiyo nature ya binadamu haturidhiki ,just imagine Rais ana Bajeti ya zaidi ya Bilioni 900 kwa mwaka kama ulivyo mfuko wa jimbo kwa mbunge ,hizo fedha hapangiwi atumie vipi ,akitaka agawe kama alivyokuwa anagawa JIWE ni sawa haulizwi na mtu.
Mshahara wake haugusi maana kila kitu serikali inanunua ,then akistaafu anapata 80% ya salary aliyopo madarakani na mwenza wake mpaka mwisho wa maisha yao which means hata akipiga term moja tu basi kashatoboa hadi kufa kwake...lakini akishaingia tu na kuonja shushu anakuwa HITLER.
Marekani wana uhuru wa maoni ,hawazuii wananchi kuongea na wanamiliki VYUMA coz hawana hasira na wanasiasa kwasababau hawajazuiwa kuongea ,kwa nchi zetu hizi zinazozuia watu kuongea wasipitishe sheria ya kumiliki MIKWAJU kama STATE maana wanasiasa watamalizwa.