Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa huwezi zuia hizi mambo, na washajikatia tamaa.Mpaka wanaamua kushirikiaana na viongozi wa nchi jirani

Lakini ndiyo nature ya binadamu haturidhiki ,just imagine Rais ana Bajeti ya zaidi ya Bilioni 900 kwa mwaka kama ulivyo mfuko wa jimbo kwa mbunge ,hizo fedha hapangiwi atumie vipi ,akitaka agawe kama alivyokuwa anagawa JIWE ni sawa haulizwi na mtu.

Mshahara wake haugusi maana kila kitu serikali inanunua ,then akistaafu anapata 80% ya salary aliyopo madarakani na mwenza wake mpaka mwisho wa maisha yao which means hata akipiga term moja tu basi kashatoboa hadi kufa kwake...lakini akishaingia tu na kuonja shushu anakuwa HITLER.

Marekani wana uhuru wa maoni ,hawazuii wananchi kuongea na wanamiliki VYUMA coz hawana hasira na wanasiasa kwasababau hawajazuiwa kuongea ,kwa nchi zetu hizi zinazozuia watu kuongea wasipitishe sheria ya kumiliki MIKWAJU kama STATE maana wanasiasa watamalizwa.
 
Bc kumbe JPM hakuwa sababu ya utekaji eee

Mkuu utekaji haujaanza enzi za JPM ,utekaji upo miaka nenda rudi tangu enzi za ukoloni ,ukaja kwa Nyerere ,ukaja kwa Mwinyi snr,ukaja kwa Mkapa ,ukaja kwa Kikwete ,ukaja kwa Jiwe na unaendelea kwa Sir100 na akija mwingine au hata wewe au mimi utaendelea to infinity....Sema Kipindi cha JIWE ndiyo ulishamiri sana na huyu KIZIMKAZI ni female version of JIWE ,kwanini kipindi cha JIWE ulishamiri? Coz planners wake walikuwa VILAZA na yeye JIWE alikuwa hana KIFUA.
 
Huyu manzi kukosoa kote kule, kumbe yupo Kenya tuu hapo na hana ulinzi wowote! what a risk!

Huwa nafikiriaga manzi yupo mbele huyu! Achomoke hapo wakora watamuua.

Sure ,aondoke Kenya aende sehemu salama huko US au ULAYA.
 
Actions speak loder than words. The levels of thinking...we can have our Albert Eistein or any other ordinary person that exists
 
Mkuu utekaji haujaanza enzi za JPM ,utekaji upo miaka nenda rudi tangu enzi za ukoloni ,ukaja kwa Nyerere ,ukaja kwa Mwinyi snr,ukaja kwa Mkapa ,ukaja kwa Kikwete ,ukaja kwa Jiwe na unaendelea kwa Sir100 na akija mwingine au hata wewe au mimi utaendelea to infinity....Sema Kipindi cha JIWE ndiyo ulishamiri sana na huyu KIZIMKAZI ni female version of JIWE ,kwanini kipindi cha JIWE ulishamiri? Coz planners wake walikuwa VILAZA na yeye JIWE alikuwa hana KIFUA.
Kumbe JPM hakuwa tatizo eee bali n system, tumekubaliana hvy?
 
Wakuu,

Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.

View attachment 3199978yu
Ni vema kama hajabakwa na vijana wa Abdul Samia. Hakika Mama anaboronga na uongozi wake, kama hataki watu wamseme basi asiiuze nchi yetu kwa Waarab kujitajirisha yeye na familia yake.
 
Back
Top Bottom