Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

Siku ukielewa Tafsiri ya kufungwa maana yake ni Nini utakua umepuvuka.
Kitendo Cha vyombo vya habari kufadhiliwa masaa 16 Kwa siku kuzungumzia Moira tu na mioasho huko ni kufungwa,

Kitendo Cha vyombo vya habari kutoreport taarifa za upande wa maoni tofauti huko ni kuwa gerezani tu!

Kitendo Cha Gerard hando kukosoa ukopaji na akasimamishwa kazi ni kufungwa tu! Kufungwa tu.

Umeelewa sasa maana ya kufungwa, muulize Balile anavyokua chawa promax na kuwatisha wanahabari ni Uhuru au utumwa
CCM wamefungwa mind zao kabisa, hawafikirii tena
 
IMG_20250505_072615.jpg

Kunguni mkubwa wewe..

Hii ni katuni iliyofanya the Citizen wakafungiwa.
 
1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA
Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha habari kilichofungiwa kwa sababu ya kutoa maoni huru au kwa kuikosoa serikali. Kama vipo avitaje! Siku ya uhuru wa vyombo vya habari sote ni mashahidi wadau wote walipongeza uhuru uliopo.

2. NGO'S ZILIZOFUNGWA
Kuhusu asasi za kiraia (NGO’s), ni vyema kuweka wazi kuwa mashirika yanayofanya kazi zao kwa mujibu wa sheria yanafanya kazi bila bughudha yoyote. Mashirika yasiyo karibishwa nchini ni yale yanayokiuka masharti ya usajili au kuendeleza ajenda zisizokubalika kama kuhimiza ushoga na usagaji. Hakuna NGO iliyofungiwa kwa sababu ya kumkosoa Rais, kama Maria Sarungi anavyodai kwa lengo la kuchafua taswira yetu kimataifa.

3. RUHUSA YA SHUGHULI ZA KISIASA
Katika uwanja wa kisiasa, Tanzania imepiga hatua kubwa. Vyama vya siasa vina uhuru wa kufanya mikutano, kampeni na kushiriki kwenye chaguzi kwa haki na usawa. Chadema kama chama cha upinzani kimekumbwa na migogoro ya ndani ambayo imedhoofisha nguvu zake za kisiasa. Mwaka huu chama hicho hakijaonesha maandalizi yoyote kuelekea uchaguzi. Ni wazi kwamba hakuna tishio la kweli la ushindani linaloibua hofu kwa serikali kama Maria anavyotaka kuonesha.

4. UHALIFU NA KUTEKWA
Kuhusu madai ya utekaji na kupotezwa kwa watu, ni lazima tuyachukulie kwa uzito unaostahili kwa kuzingatia ushahidi. Tanzania ni nchi ya sheria, na vyombo vya usalama vinafanya kazi kwa weledi kuhakikisha usalama wa raia. Uhalifu na matukio ya kihalifu hutokea sehemu nyingi duniani, ikiwemo mataifa yaliyoendelea kama Marekani, ambako watu hupotea au kuuawa bila serikali kuhusika. Hivyo basi, kuyahusisha matukio ya kihalifu na serikali kwa lengo la kisiasa ni upotoshaji wa makusudi.

5.MKAKATI WA KUJIPATIA FEDHA KWA ULAGHAI
Ni wazi kuwa Maria Sarungi ameendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kama njia ya kujipatia mashiko ya wafadhili kama Ford Foundation, kwa kutengeneza picha mbaya ya Tanzania. Badala ya kuisemea Tanzania kwa uhalisia na kujenga, amechagua kuwa sehemu ya ajenda za nje zinazolenga kupandikiza chuki na kupunguza imani ya Watanzania kwa taasisi zao. (Hivi karibuni alipewa $400,000 zaidi ya TZS Bilioni 400 kwaajili ya Kampeni dhidi ya Tanzania kupitia Mwanzo org)
Wenye akili zao wamelelewa
Soma kuhusu 'ostracism' utanishukuru
 
Huyo mwanaharamu ana laana tena za babake. Halafu nyau km huyo anaweza kushindana na Rais wa nchi? Tena nchi km Tanzania? Hana adabu ht ya kuazima, unamtukana mama km Samia? Kisa upate pesa za wazungu? Uzushe uwongo, upotoshe, ufanye uchochezi? Kweli? Mwambie atakufa huko ugenini na kuzikwa huko hana kwao huyo bwege
 
1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA
Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha habari kilichofungiwa kwa sababu ya kutoa maoni huru au kwa kuikosoa serikali. Kama vipo avitaje! Siku ya uhuru wa vyombo vya habari sote ni mashahidi wadau wote walipongeza uhuru uliopo.

2. NGO'S ZILIZOFUNGWA
Kuhusu asasi za kiraia (NGO’s), ni vyema kuweka wazi kuwa mashirika yanayofanya kazi zao kwa mujibu wa sheria yanafanya kazi bila bughudha yoyote. Mashirika yasiyo karibishwa nchini ni yale yanayokiuka masharti ya usajili au kuendeleza ajenda zisizokubalika kama kuhimiza ushoga na usagaji. Hakuna NGO iliyofungiwa kwa sababu ya kumkosoa Rais, kama Maria Sarungi anavyodai kwa lengo la kuchafua taswira yetu kimataifa.

3. RUHUSA YA SHUGHULI ZA KISIASA
Katika uwanja wa kisiasa, Tanzania imepiga hatua kubwa. Vyama vya siasa vina uhuru wa kufanya mikutano, kampeni na kushiriki kwenye chaguzi kwa haki na usawa. Chadema kama chama cha upinzani kimekumbwa na migogoro ya ndani ambayo imedhoofisha nguvu zake za kisiasa. Mwaka huu chama hicho hakijaonesha maandalizi yoyote kuelekea uchaguzi. Ni wazi kwamba hakuna tishio la kweli la ushindani linaloibua hofu kwa serikali kama Maria anavyotaka kuonesha.

4. UHALIFU NA KUTEKWA
Kuhusu madai ya utekaji na kupotezwa kwa watu, ni lazima tuyachukulie kwa uzito unaostahili kwa kuzingatia ushahidi. Tanzania ni nchi ya sheria, na vyombo vya usalama vinafanya kazi kwa weledi kuhakikisha usalama wa raia. Uhalifu na matukio ya kihalifu hutokea sehemu nyingi duniani, ikiwemo mataifa yaliyoendelea kama Marekani, ambako watu hupotea au kuuawa bila serikali kuhusika. Hivyo basi, kuyahusisha matukio ya kihalifu na serikali kwa lengo la kisiasa ni upotoshaji wa makusudi.

5.MKAKATI WA KUJIPATIA FEDHA KWA ULAGHAI
Ni wazi kuwa Maria Sarungi ameendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kama njia ya kujipatia mashiko ya wafadhili kama Ford Foundation, kwa kutengeneza picha mbaya ya Tanzania. Badala ya kuisemea Tanzania kwa uhalisia na kujenga, amechagua kuwa sehemu ya ajenda za nje zinazolenga kupandikiza chuki na kupunguza imani ya Watanzania kwa taasisi zao. (Hivi karibuni alipewa $400,000 zaidi ya TZS Bilioni 400 kwaajili ya Kampeni dhidi ya Tanzania kupitia Mwanzo org)

$400,000 ni sawa na Tshs 400bn? Really!
How much are you paid by CCM to write this shit ?
 
Kafanya vizuri tu kupotosha maana hakuna chombo Cha habari kinachosema ukweli
 
CCM wamefungwa mind zao kabisa, hawafikirii tena
Ni hatari sana
Kuna msemo mmoja unasema Ogopa wajinga wakiwa wengi sana, wanaweza kumchagua Rais!
Sasa hivi wanapambana na media kutoa content ya Gwajima Kwa lazima na mtutu wa bunduki badala ya kujibu hoja Kwa namna ambayo inaeleweka! Mwishoni wanasema kwamba wanachafuliwa! Tangu lini oil chafu ikachafuliwa?
 
Maria mwenyewe ni bingwa wa ku-block watu wenye maoni tofauti na yake. Maria na Malisa Godlisten ni madikteta hatari ila cha kushangaza ndo namba moja wa kutaka uhuru wa kutoa maoni. She is a wrong messenger.
Samia mi5 tna🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
 
Kama dola 400,000 ni sawa ni Tsh. Bilioni 400 kwa maelezo yako basi upo sawa.
 
Ni hatari sana
Kuna msemo mmoja unasema Ogopa wajinga wakiwa wengi sana, wanaweza kumchagua Rais!
Sasa hivi wanapambana na media kutoa content ya Gwajima Kwa lazima na mtutu wa bunduki badala ya kujibu hoja Kwa namna ambayo inaeleweka! Mwishoni wanasema kwamba wanachafuliwa! Tangu lini oil chafu ikachafuliwa?
Imagine, hawa CCM wangejua wanaharibu sana future za vijana wengi sana wanaosoma kwa bidii......maana wanona elimu ni kama si lolote .......generation ijayo itakuwa na hali mbaya sana kama huu ujinga ukiendelea
 
Hapo kwenye utekaji ndipo ulipoweka wazi upumbavu wako.
Yote uliyoandika ni ujinga ila la utekajio. na eti polisi kina Mafwele wanafanya kazi Kwa weledi imeonyesha wewe mwehu.
 
Mwaka wa uchaguzi huu na kwa kutoa hiyo presentation pesa zimeingia kwenye akaunti ya Dada Maria.

Tunaposema wote hawa kina Oslo na Open Society ni maadui wa serikali halali za kiafrika nadhani tunaeleweka kwa wenye akili wenye uwezo wa kuunganisha nukta.

Ugumu wa afrika kuwa tajiri kuliko mabara mengine yote upo hapa kwenye hizi roho za usaliti zilizojaa barani kwetu haswa miongoni mwa wasomi wetu.
 
Back
Top Bottom