Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO BAPA kwa uoga unashauri watoto wa wenzio tu wasiwe waoga , kwa nini wewe ulikuwa muoga wakati wala hata hukuwa umefanya kosa ? acha kuwafanya nyumbu watoto wa wenzio leta wako

2. Maria wewe ulimponza sana Mdude nyagali kila wiki ulikuwa unampambaa weweeeee unamuita jasiri hakuna wa kumfanya kitu, leo wanawe wanamtafuta baba yao, wewe haupo wala hausaidii familia yake unaendelea ku recruit wajinga wengine tu acha kutoa kafara watoto wa wenzio leta wako , wataisha wote shauri yako

3. Nakusikia unapenda sana kusema tutakiwasha , UTAKIWASHA NA NANI? HATA ALIYESEMA ATAKINUKISHA ANANUKA LEO KWENYE KUTA ZA MAGEREZA , hivi unajua adha ya kulala chini wiki tu? hivi unajua wewe leo unalala umejifunika duvert unakumbatiwa na huyo bwana wako mwenzako mzee wa singida anapiga punyeto kila siku jioni mzee wa miaka 57 kisa nyie wapambe nuksi, ndo maana Mbowe alikimbia siasa uanaharakati anajua adha na mateso yake .

Maria Sarungi tafuta kazi acha uchochezi , Mange nakurudia nikishasali maana ninakuchukia mpaka basi
 
Mleta mada, JF siyo jukwaa la vibwengo, hapa wanatakiwa wenye akili timamu, siyo mtu mipasho ya kijinga kama wewe. Pole sana kwa kuwa kama ulivyo, na zaidi kwa kukosa akili ya tafakuri.
 
Naomba Jukwaa hili lisimamie misingi yake. Hili ni Jukwaa la Siasa siyo la mipasho na upuuzi mwingine kama huo.

Hili Jukwaa lisigeuzwe kuwa sehemu ya kukejeli watu wenye maumivu mioyoni mwao. Kutokana na vifo na kupotezwa kwa Wapendwa wao.

Binadamu tena ndugu zetu wameuliwa kama kumbikumbi halafu bila haya anatokea mpuuzi/wapuuzi kutukejeli. Huu ni zaidi ya ushetani.
 
wako wanawatafutia waandamanaji free internet
 
Kuna wakati unatakiwa upoteze kila kitu ili upate kila kitu

Ila akili sio kila kitu ikipotea ndo imeisha hiyo

Wewe ni pimbi kiazi bogus chawa pumpkin head pro max!
 
hapa hakuna mipasho hapa ni facts , mtu mpaka juzi 11-12-2025 anawashauri watu wakinukishe , wakiwashe wawashe nchi yao wakati yeye kaka mbali shenzi kabisa amechochea wenzie , nchi imepoteza mali na roho za watu bado anaendelea tu hakomi , i wish ningepewa kazi niwaleteeni huyo ajuza
 
umemsikiliza au na wewe ndo nyumbu unayeandaliwa kuwa chakula cha mamba december 25 ,ingiza tu kichwa au tako barabarani usikie inavyopenya , tutakuimbia siku 2 tu tunakusahau, wanazaliwa wengine bora
 
Kuna wakati unatakiwa upoteze kila kitu ili upate kila kitu

Ila akili sio kila kitu ikipotea ndo imeisha hiyo

Wewe ni pimbi kiazi bogus chawa pumpkin head pro max!
nina akili mpaka zinamwagika kupitia masikioni ndo maana nawashauri vizuri
 
wako wanawatafutia waandamanaji free internet
aiseee wa
wako wanawatafutia waandamanaji free internet
aisee wabongo bana badala ya kushinda hata wanajisomea wao wanamsikiliza habili kawaingiza chaka keshapotea, eti anazima mifumo yote ya BOT Ameshahack ? majinga ya kitanzania eti yanashangilia kabisa, eti ameshaongea na DP World na ameshahack mifumo ya bbandari ma ngombe yanamshangilia :3Dance::3Dance::3Dance::3Dance:
 
..kwa nini wewe ulikuwa muoga wakati wala hata hukuwa umefanya kosa ?
Kwani wahuni huwa wanateka na kuua wenye makosa pekee?
Mzee Ali Kibao, Chaula, Mdude, Soka, Sharif Majini, nk, walikuwa na kosa gani?
 
Mtu anakuambia wewe kinukishe halafu yeye kathamini uhai wake kakimbia nchi
 
Naomba Jukwaa hili lisimamie misingi yake. Hili ni Jukwaa la Siasa siyo la mipasho na upuuzi mwingine kama huo.

Hili Jukwaa lisigeuzwe kuwa sehemu ya kukejeli watu wenye maumivu mioyoni mwao. Kutokana na vifo na kupotezwa kwa Wapendwa wao.

Binadamu tena ndugu zetu wameuliwa kama kumbikumbi halafu bila haya anatokea mpuuzi/wapuuzi kutukejeli. Huu ni zaidi ya ushetani.
ndo maana nawakejeli sana ambao bado wanamsikiliza kwa sababu wanajua uchochezi ulivyomaliza roho na mali za watu
 
Back
Top Bottom