Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO BAPA kwa uoga unashauri watoto wa wenzio tu wasiwe waoga , kwa nini wewe ulikuwa muoga wakati wala hata hukuwa umefanya kosa ? acha kuwafanya nyumbu watoto wa wenzio leta wako

2. Maria wewe ulimponza sana Mdude nyagali kila wiki ulikuwa unampambaa weweeeee unamuita jasiri hakuna wa kumfanya kitu, leo wanawe wanamtafuta baba yao, wewe haupo wala hausaidii familia yake unaendelea ku recruit wajinga wengine tu acha kutoa kafara watoto wa wenzio leta wako , wataisha wote shauri yako

3. Nakusikia unapenda sana kusema tutakiwasha , UTAKIWASHA NA NANI? HATA ALIYESEMA ATAKINUKISHA ANANUKA LEO KWENYE KUTA ZA MAGEREZA , hivi unajua adha ya kulala chini wiki tu? hivi unajua wewe leo unalala umejifunika duvert unakumbatiwa na huyo bwana wako mwenzako mzee wa singida anapiga punyeto kila siku jioni mzee wa miaka 57 kisa nyie wapambe nuksi, ndo maana Mbowe alikimbia siasa uanaharakati anajua adha na mateso yake .

Maria Sarungi tafuta kazi acha uchochezi , Mange nakurudia nikishasali maana ninakuchukia mpaka basi
Umeandika usenge
 
Umeandika usenge
Nakuona nyumbu huelewi chochote hapa pita tu kama hujasoma chochote , elimika acha kufuata mkumbo wenzio wapo kwenye payroll wewe unauzwa mzima mzima
 
Kwani wahuni huwa wanateka na kuua wenye makosa pekee?
Mzee Ali Kibao, Chaula, Mdude, Soka, Sharif Majini, nk, walikuwa na kosa gani?
Chaula nilisikitika sana , Mdude nyagali alikuwa na kauli za kuhatarisha usalama sana , kauli za kichochezi mno, mzee kibao vyombo bado vinachunguza tuwape muda
 
1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO BAPA kwa uoga unashauri watoto wa wenzio tu wasiwe waoga , kwa nini wewe ulikuwa muoga wakati wala hata hukuwa umefanya kosa ? acha kuwafanya nyumbu watoto wa wenzio leta wako

2. Maria wewe ulimponza sana Mdude nyagali kila wiki ulikuwa unampambaa weweeeee unamuita jasiri hakuna wa kumfanya kitu, leo wanawe wanamtafuta baba yao, wewe haupo wala hausaidii familia yake unaendelea ku recruit wajinga wengine tu acha kutoa kafara watoto wa wenzio leta wako , wataisha wote shauri yako

3. Nakusikia unapenda sana kusema tutakiwasha , UTAKIWASHA NA NANI? HATA ALIYESEMA ATAKINUKISHA ANANUKA LEO KWENYE KUTA ZA MAGEREZA , hivi unajua adha ya kulala chini wiki tu? hivi unajua wewe leo unalala umejifunika duvert unakumbatiwa na huyo bwana wako mwenzako mzee wa singida anapiga punyeto kila siku jioni mzee wa miaka 57 kisa nyie wapambe nuksi, ndo maana Mbowe alikimbia siasa uanaharakati anajua adha na mateso yake .

Maria Sarungi tafuta kazi acha uchochezi , Mange nakurudia nikishasali maana ninakuchukia mpaka basi

Me nataka waendelee mpaka tupate maji

Haiwezekani miaka 60 ya uhuru hatuna maji ya uhakika
 
changamoto zipo na ni ukweli kuna sehemu serikali ina matumizi ya anasa tunalamikia kistaaarabu
 
Uyo Maria na Wapuuzi wenzake mtaji wao ni watu wasiojitambua na ao wako wengi sana kwenye Nchi zenye matatizo makubwa ya ajira.
Ao jamaa hawajali wata uwawa watu wangapi katika ushawishi wao kikubwa kwao ufadhili walionao unaingiza mamilioni ya dolali.
 
kweli kabisa nimewasikia wafanyabiashara wadogo D 9 tu walikuwa wanasononeka kweli kutoingiza hela wakati wana marejesho wanatakiwa kula , lakini maria na mange busy tu kutuchonganisha
 
Mtu anakuambia wewe kinukishe halafu yeye kathamini uhai wake kakimbia nchi
Ndio, mlimwambia mumuachie Lisu kwa sharti la kuishi nje, ili mje na hadithi hii.
Hakuna aliekimbia wote wapo.
 
Back
Top Bottom