Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

Umeandika usenge
 
Umeandika usenge
Nakuona nyumbu huelewi chochote hapa pita tu kama hujasoma chochote , elimika acha kufuata mkumbo wenzio wapo kwenye payroll wewe unauzwa mzima mzima
 
Kwani wahuni huwa wanateka na kuua wenye makosa pekee?
Mzee Ali Kibao, Chaula, Mdude, Soka, Sharif Majini, nk, walikuwa na kosa gani?
Chaula nilisikitika sana , Mdude nyagali alikuwa na kauli za kuhatarisha usalama sana , kauli za kichochezi mno, mzee kibao vyombo bado vinachunguza tuwape muda
 

Me nataka waendelee mpaka tupate maji

Haiwezekani miaka 60 ya uhuru hatuna maji ya uhakika
 
Me nataka waendelee mpaka tupate maji

Haiwezekani miaka 60 ya uhuru hatuna maji ya uhakika
changamoto zipo na ni ukweli kuna sehemu serikali ina matumizi ya anasa tunalamikia kistaaarabu
 
Uyo Maria na Wapuuzi wenzake mtaji wao ni watu wasiojitambua na ao wako wengi sana kwenye Nchi zenye matatizo makubwa ya ajira.
Ao jamaa hawajali wata uwawa watu wangapi katika ushawishi wao kikubwa kwao ufadhili walionao unaingiza mamilioni ya dolali.
 
kweli kabisa nimewasikia wafanyabiashara wadogo D 9 tu walikuwa wanasononeka kweli kutoingiza hela wakati wana marejesho wanatakiwa kula , lakini maria na mange busy tu kutuchonganisha
 
Mtu anakuambia wewe kinukishe halafu yeye kathamini uhai wake kakimbia nchi
Ndio, mlimwambia mumuachie Lisu kwa sharti la kuishi nje, ili mje na hadithi hii.
Hakuna aliekimbia wote wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…