Kutoka ukurasa wake wa X.
Akina Who are You wameanza kimyakimya kunyooka na wauaji✊🏽 Wameanza na mastermind mwenyewe - haamini kapigwa pini ya kutembelea nchi yao! Watafuata na wengine ila hii sasa itaenda na wakubwa siyo hawa mnaowatumatuma!
Mmeshaambiwa acheni kutuwinda, kututeka, kutuua na kutuumiza Mmeambiwa kuwepo na uwajibikaji huru na haki - mnaleta sinema za kitoto! Dully teja ajipange - nasikia Dubai kule nako si kama zamani kuingia na kutoka - sijui vipi - ila sehemu salama kwa sasa kwao ni Oman! Mjipange!