mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Una akili ndogo sanaMnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Huko CCM Kuna nini?
Wafuasi wengi kama siyo wote ni mazezeta licha kwamba yamesoma, mbona hamtumii akili zenu?
Tafakari upya kwa hicho ulichokomenti