🤣Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Relax and Take notes while i take tokes of marijuana smoke gun smoke guns smoke i just want the papers.Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Hizo ni kweli? kuna muda tunafurahi sana kusikia vile lakini wakati mwingine mnatupangaKutoka ukurasa wake wa X.
Akina Who are You wameanza kimyakimya kunyooka na wauaji✊🏽 Wameanza na mastermind mwenyewe - haamini kapigwa pini ya kutembelea nchi yao! Watafuata na wengine ila hii sasa itaenda na wakubwa siyo hawa mnaowatumatuma!
Mmeshaambiwa acheni kutuwinda, kututeka, kutuua na kutuumiza Mmeambiwa kuwepo na uwajibikaji huru na haki - mnaleta sinema za kitoto! Dully teja ajipange - nasikia Dubai kule nako si kama zamani kuingia na kutoka - sijui vipi - ila sehemu salama kwa sasa kwao ni Oman! Mjipange!
this is just nonsense 🐒Kutoka ukurasa wake wa X.

Mkuu isiwe shida, nenda kwa mzee wa mapanki wa Korea Kaskazini.Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Watapungukiwa kile walichokuwa wanakifata huko. Ikiwezekana wazuie viongozi wote kwenda hukoMnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Badala umlilie Mungu unamlilia mzungu🤣Watapungukiwa kile walichokuwa wanakifata huko. Ikiwezekana wazuie viongozi wote kwenda huko
Hapa sijaelewa, kuwategemea Wazungu kwenye nini?Badala umlilie Mungu unamlilia mzungu🤣
Foolish wote wanaowategemea wazungu
Badala umlilie Mungu unamlilia mzungu🤣
Foolish wote wanaowategemea wazungu
Maria ni mwanaharakati mzuri sana na mzalendo wa kweli ila kuwa wakati wanamlisha matango pori. Mara nyingi hafanyi utafiti wa kutosha kuhusu habari anazopata na inaonekana kuna watu wanafanya makusudi ku-plant habari za uongo kwake.Hizo ni kweli? kuna muda tunafurahi sana kusikia vile lakini wakati mwingine mnatupanga
Kuwalelea wake na watoto wao kama hao akina Lema na lissuHapa sijaelewa, kuwategemea Wazungu kwenye nini?
Umeenda deep sana 🤣hahaha ukitoa z inabakia nini? ...
Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Wanapungukiwa misaada, hivi Sasa wakandarasi hawataki biashara za serikali, hakuna malipo ya mapema, mwendo wa roborobo!Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Na mapicha ya Kambarage!No offense although siabudu westerners lakini nikuulize viongoz walikuwa wanaranda randa huko kufanya nini?