mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Una akili ndogo sanaMnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
UnaumwaUna akili ndogo sana
Huko CCM Kuna nini?
Wafuasi wengi kama siyo wote ni mazezeta licha kwamba yamesoma, mbona hamtumii akili zenu?
Tafakari upya kwa hicho ulichokomenti
Wakandarasi wakizingua vijana wetu wa JKT wanaingia mzigoniWanapungukiwa misaada, hivi Sasa wakandarasi hawataki biashara za serikali, hakuna malipo ya mapema, mwendo wa roborobo!
Kumbe akili zenyewe ndiyo hizi,basi kazi kweli kweli.Kuwalelea wake na watoto wao kama hao akina Lema na lissu
Usikute jibu unalotoa hapa unatumia android au ios ambazo zote hizo zimetengebezwa na mzungu huyo huyo 😄Badala umlilie Mungu unamlilia mzungu🤣
Foolish wote wanaowategemea wazungu
Natumia Infinix hot 10Usikute jibu unalotoa hapa unatumia android au ios ambazo zote hizo zimetengebezwa na mzungu huyo huyo 😄
Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Ndani yake kuna android 😄Natumia Infinix hot 10
Duh so pain!Umepiga kichwani mkuu
WAZUNGU wenyewe wabaguzi sana
Unaweza kufa njaa
Kuna siku tulikuwa Ujerumani na mshikaji wangu
Jamaa kaagiza msosi
mtandaoni tupo3
Msambazaji kijana wa Kizungu mshikaji wetu katoka ndani na ela
Kale Kazungu si kameondoka na Msosi
😂😂😂😂 hajui tatizo nini
Lengo tufe njaaa❗️❗️ au kajiona mtumwa wa
mweusi 😂❗️❗️
kwakuwa tunajua visa vyao tukapotezea✍️
Udaku ndo kilichobaki CDM. Hata kesi ya Lissu haiwashughulishi kama umbeya wa kina Sarungi.Kutoka ukurasa wake wa X.
Akina Who are You wameanza kimyakimya kunyooka na wauaji✊🏽 Wameanza na mastermind mwenyewe - haamini kapigwa pini ya kutembelea nchi yao! Watafuata na wengine ila hii sasa itaenda na wakubwa siyo hawa mnaowatumatuma!
Mmeshaambiwa acheni kutuwinda, kututeka, kutuua na kutuumiza Mmeambiwa kuwepo na uwajibikaji huru na haki - mnaleta sinema za kitoto! Dully teja ajipange - nasikia Dubai kule nako si kama zamani kuingia na kutoka - sijui vipi - ila sehemu salama kwa sasa kwao ni Oman! Mjipange!
Kweli una akili ndogo.....Wakandarasi wakizingua vijana wetu wa JKT wanaingia mzigoni
Sio kwamba hamtaki kutegemea wazungu, ila wazungu huwa hawataki kushirikiana na viongozi washenzi. Mzungu hakwepeki boss.Badala umlilie Mungu unamlilia mzungu🤣
Foolish wote wanaowategemea wazungu
Km ni kweli,basi tushukuru kwa hiki kidogo.
Hawa wanachoweza kukisikia ni risasi za vita, haya mengine hayawapi shida hata kidogo......si lazima kwnda ulaya au amerika. watakwenda china , korea kaskazi, china na nchi kama hizoKutoka ukurasa wake wa X.
Akina Who are You wameanza kimyakimya kunyooka na wauaji✊🏽 Wameanza na mastermind mwenyewe - haamini kapigwa pini ya kutembelea nchi yao! Watafuata na wengine ila hii sasa itaenda na wakubwa siyo hawa mnaowatumatuma!
Mmeshaambiwa acheni kutuwinda, kututeka, kutuua na kutuumiza Mmeambiwa kuwepo na uwajibikaji huru na haki - mnaleta sinema za kitoto! Dully teja ajipange - nasikia Dubai kule nako si kama zamani kuingia na kutoka - sijui vipi - ila sehemu salama kwa sasa kwao ni Oman! Mjipange!
Wewe ndo unaakili ndogoKweli una akili ndogo.....
Unahisi kwann serikali iliopt kutumia wakandarasi???
Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Maria Sarungi matango poriHizo ni kweli? kuna muda tunafurahi sana kusikia vile lakini wakati mwingine mnatupanga