Maria Sarungi: Mastermind wa mauaji kapigwa pin kuingia Ulaya

Huto ni mzungu kakufanyia wewe black. Huko kwenu black anamuua black mwenzake kwa sababu ya madaraka. Mna akili nyie!? Yaani mnaumizana wenyewe kwa wenyewe!
 
Duh so pain!
Umeona sasa, wazungu hawajawahi kumpenda black people...lakini Kila siku tunajaza nyuzi za kujibembeleza kwa wazungu
Wewe ndio unatakiwa umpende black mwenzio lakini badala yake unamuua kwa sababu ya madaraka. Ni kwa sababu hauna akili.
 
Wazungu walikuwa wabaya kwa watu weusi (ukoloni) ila ni wazi wanashangaa weusi wanavyowaua weusi wenzao kwa sababu ya kung'ang'ania madaraka .
Vibaka watauawawa bila kujar ni beberu au jike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…