Maria Sarungi: Mastermind wa mauaji kapigwa pin kuingia Ulaya

so ulkua unaropoka tu???
Ndo maana nakwambia uwe unakaa tu kimya sometimes kuficha upumbavu wako
Kwani mkuu ...lazima upite kwenye post zangu? Au wewe umechaguliwa na ma moderators uwe una ni-mentor ? Otherwise acha kimbelembele mkuu
 
JK na wenzake hawana muda mrefu watashindwa ata kufanya biashara zao kwa uhuru.

Wenye dunia wakiamua hakuna wa kupinga, waombe vita ya Iran... middle east na ile ya Ukraine na Urusi viendelee ili big boys wawe busy na uko.
 
petty things
halafu mtu hata kula yake ni mgogoro anashangilia ujinga ambao hauna hata ushahidi wowote
vipumbavu vya mitandaoni vinajiamulia kutengeneza upupu kwa kuwa wanajua kuna nyumbu za kutosha kupaisha maudhui yao mitandaoni kuwangozea vipato
 
Hata wakipigwa ban kutoka nje ya tanzania haina muhimu kwao wala hawajali.
Tunataka wamnyofoe kama walivyofanya kwa maduro.
Utakuwa mjinga sana ukiamini hivyo. Wenzako wanajali kweli kweli. Ndio maana pesa zao wanaweka huko. Wananunua nyumba huko. Wanasomesha watoto na Wajukuu woo huko/ wanaenda kutibiwa huko.
Halafu mjinga mmoja anajifanya eti hawajali?
 
Jiongeze tu si unaona siku hizi anatuma vibaraka kwenye mikutano ya kimataifa.
Hizo ni kweli? kuna muda tunafurahi sana kusikia vile lakini wakati mwingine mnatupanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…