Maria Sarungi: Mastermind wa mauaji kapigwa pin kuingia Ulaya

Mnaakili za kushikiwa na mabeberu kwani wasipoenda kwa mabeberu wanapungukiwa nini?
Stupid mind always is slave of westerns
Kuna umuhimu sana kutembea nchi za wakubwa zinakuhakikishia authority na power yako kuendelea kuexit unadhani kwanini museven na ujinga wake wote hathubutu kuwagusa wazungu kwa sababu anajua sheria don't outshine your master.
 
Naomba mtu anieleweshe taratibu kabisa, naonaga mara fulani kafungiwa adiingie Marekani, mara fulani Ulaya n.k. Hivi, kwa kufungiwa kwenda huko mtu anakuwa amepoteza kitu gani kikubwa? Je, hawa watu hawawezi kufurahia maisha mpaka waende hizo nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…