Changamoto inayojitokeza kwa wanaharakati wengi ni kutokuwa na nia njema kwenye shughuli zao za kukosoa serikali. Wanaharakati wanatakiwa pia kuiunga mkono serikali endapo itaweza kubadili mienendo yake, au kuunga mkono hoja ambazo wanapigania. Hii ndiyo maana ya kuwa na harakati hizo. Kuwa kwenye mzunguko wa kukosoa serikali bila kikomo hata katika maamuzi mazuri ina ashiria kutokuwa na nia njema