Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

Changamoto inayojitokeza kwa wanaharakati wengi ni kutokuwa na nia njema kwenye shughuli zao za kukosoa serikali. Wanaharakati wanatakiwa pia kuiunga mkono serikali endapo itaweza kubadili mienendo yake, au kuunga mkono hoja ambazo wanapigania. Hii ndiyo maana ya kuwa na harakati hizo. Kuwa kwenye mzunguko wa kukosoa serikali bila kikomo hata katika maamuzi mazuri ina ashiria kutokuwa na nia njema
Kuna 'kenge'(chawa) kazi yao huwa ni kusifia tu hata watu wakitekwa, wakiteswa na kuuawa huku polisi,viongozi wa serikali na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vikiwa kimya kwa makusudi(signs that they're involved in one way or the other) hao huja na 'hoja vitimbwi' kutetea ushenzi na uzandiki wa aina hiyo so literally inabidi kuwe na critics mfano wa Maria Sarungi ambao ni muhimu sana to balance the equation.
 
Back
Top Bottom