Maria Sarungi ni nani?

Safi kabisa, alikuwa ananikera sana-msomi mzima wa sheria alikuwa anajitoa akili kwenye issue sensitive kama hiyo na kuleta ukada!
 
Kuna kipindi alipotea njia, hasa kipindi kile cha uchaguzi, alipoteza uwezo wake halisi wa kuchambua mambo alimezwa na hekaya za Mzee Mwanakijiji ,
Nadhani sasa na yeye anaona kabisa aliingizwa chaka
Hakupotea bali ilikuwa ni msimamo wake halisi. Miezi ya kwanza ya Magu alikuwa mpuliza tarumbeta ya kumshangilia mpk alipogundua mtoto siyo riziki ndo akaanza kujirudi ila kwangu CCM wote ni wanafiki tu
 
She is very smart, understanding and friendly. I don't know much about her professional life history but her first impression to me was that.
 
Hakupotea bali ilikuwa ni msimamo wake halisi. Miezi ya kwanza ya Magu alikuwa mpuliza tarumbeta ya kumshangilia mpk alipogundua mtoto siyo riziki ndo akaanza kujirudi ila kwangu CCM wote ni wanafiki tu

Kaka kwani alikuwa hamfahamu Uncle wakati akiwa Wizara tofautitofauti?, sidhani kama alishirikisha ubongo wake vizuri, Maana ilikuwa kila mada ya Mzee Mwanakijiji aliyokuwa anaiweka hapa JF yeye alikuwa anaicopy na kuipaste kwenye wall zake mbalimbali za mitandao ya kijamii

Anyway nashukuru kama karudi kwenye uhalisia wake, hope anajuta sasa kwa kitendo chake cha kuwashawishi wananchi wamchague Uncle
 


Inabidi hadi mzinduke au mzinduliwe kwa kweli; hivi kweli kabisa bado mnaamini Lowassa ndio alikuwa chaguo sahihi. Mtalaumu watu wote wengine duniani isipokuwa nyinyi wenyewe. Ni muhimu kuanza kuwajibika kwa maamuzi yenu wenyewe!
 
Maria sarungi Tsehai ni mke wa mzee Tsehai pia ni mwanaharakati wa kijamii, kuhusu women Empower ment, na child Empowerment anahusika na suala zima la kumanage, nextgen org. Na mashirika mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…