Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Mwandiko wako tu unakutambulisha vema kwa namna kichwani mwako kulivyojaa kamasi badala ya ubongo!
Siku zote mimi nasisitiza huyu nguruwe baba yake aliuza nguruwe akapeleka nguruwe mwingine shule
 
kama kweli alitekwa mbona ameachwa mzima? hata mkono hata kuvunjwa hajavunjwa kama Abdul Nondo?
Ni hivi muda mfupi baada ya kutekwa Amnesty International kenya walipata taarifa na kurushwa hewani majangili wenzio wakawasiliana kuwa kimenuka wakati huo wamesha mvalisha pingu tayari kwa kuitafuta boda hivyo wakaona isiwe tabu wakamtema kenya sio kama huku kwenu chimba unye
 
Hajatekwa huyo, wawe wanajiongeza wanapocheza scene zao,sio kila mtu ni mjinga.Ovyo kabisa huyu dada.
Hahahahaaa, lishangazi limeumbuka. Atawapa hawahawa wajinga wa cdm ambao kwao jambo lolote litashangiliwa Ili mradi tu liwe linamuharibia Samia au serikali.
 
Liangalieni hili ngese, linaongea ujinga hapa!
 
Duuu wewe si bure utakuwa wameshakutoa marinda kabla hata ya kuvunja ungo.

Si kwa upeo mkubwa huo uliokuwa nao wa kuchmbua mambo makubwa kama haya unayoyachambua.
 
Ukiona Mtanzania anaelezea Tatizo lake Kwa kiingereza Basi jua hana Tatizo huyo analaghai tu. Mpira uishie hapo
 
Ndefu hadi unasinzia
 
Ukiona Mtanzania anaelezea Tatizo lake Kwa kiingereza Basi jua hana Tatizo huyo analaghai tu. Mpira uishie hapo
Unajua zamani nilikuwa nakuchulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana.

Kwa comment yako hii nimegundua kuwa nilikuwa nadandia train kwa mbele bila kujua kasi yake halisi.
 
Ukiona Mtanzania anaelezea Tatizo lake Kwa kiingereza Basi jua hana Tatizo huyo analaghai tu. Mpira uishie hapo
Hapo alikuwa anakata mawasiliano kwa makusudi kwa sababu ambazo hajazisema wazi wazi! Yaani Kiswahili anasikia halafu anawajibu kwa Kiingereza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…