kadendu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 645
- 496
Siku zote mimi nasisitiza huyu nguruwe baba yake aliuza nguruwe akapeleka nguruwe mwingine shuleMwandiko wako tu unakutambulisha vema kwa namna kichwani mwako kulivyojaa kamasi badala ya ubongo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote mimi nasisitiza huyu nguruwe baba yake aliuza nguruwe akapeleka nguruwe mwingine shuleMwandiko wako tu unakutambulisha vema kwa namna kichwani mwako kulivyojaa kamasi badala ya ubongo!
Ni hivi muda mfupi baada ya kutekwa Amnesty International kenya walipata taarifa na kurushwa hewani majangili wenzio wakawasiliana kuwa kimenuka wakati huo wamesha mvalisha pingu tayari kwa kuitafuta boda hivyo wakaona isiwe tabu wakamtema kenya sio kama huku kwenu chimba unyekama kweli alitekwa mbona ameachwa mzima? hata mkono hata kuvunjwa hajavunjwa kama Abdul Nondo?
wakikujibu unitag mkuuNaona inakuwa kiki wakinusurika. Na waliopotea jumla wanazifanyia wapi hizo kiki au mnajua walipo.
ubongo wako unakuwasha wewe punda? Watekaji mpo wengi.Anyamaze aache kiherehere
Watanzania wengi wanafikiriaga upumbavu, jitu zima linafikiria ngono badala ya maisha ya binadamu, a lot of sick people in this country.Wapumbavu mnafikiria upimbavu tu shenzi
Sawa Slim, naona leo umemuachia password mkeo Mrs Slim nae a-coment humu jamii forum.Hajatekwa huyo, wawe wanajiongeza wanapocheza scene zao,sio kila mtu ni mjinga.Ovyo kabisa huyu dada.
Hahahahaaa, lishangazi limeumbuka. Atawapa hawahawa wajinga wa cdm ambao kwao jambo lolote litashangiliwa Ili mradi tu liwe linamuharibia Samia au serikali.Hajatekwa huyo, wawe wanajiongeza wanapocheza scene zao,sio kila mtu ni mjinga.Ovyo kabisa huyu dada.
Nyumbu mmeumbuka, mlifikiria Kila mtu ni mpumbavu kama nyieSawa Slim, naona leo umemuachia password mkeo Mrs Slim nae a-coment humu jamii forum.
Sikujua kama hili lidada ni lipumbavu kiasi hiki.Ni muongo na mzushi tu
Wangetaka wangeshindwa?
Wangemteka asingetoka mrembo vile na ndani ya muda mfupi
Liangalieni hili ngese, linaongea ujinga hapa!Ni hivi muda mfupi baada ya kutekwa Amnesty International kenya walipata taarifa na kurushwa hewani majangili wenzio wakawasiliana kuwa kimenuka wakati huo wamesha mvalisha pingu tayari kwa kuitafuta boda hivyo wakaona isiwe tabu wakamtema kenya sio kama huku kwenu chimba unye
Sawa Mrs. Slim leo unajidai na password ya mumeo.Nyumbu mmeumbuka, mlifikiria Kila mtu ni mpumbavu kama nyie
Duuu wewe si bure utakuwa wameshakutoa marinda kabla hata ya kuvunja ungo.Ni hivi muda mfupi baada ya kutekwa Amnesty International kenya walipata taarifa na kurushwa hewani majangili wenzio wakawasiliana kuwa kimenuka wakati huo wamesha mvalisha pingu tayari kwa kuitafuta boda hivyo wakaona isiwe tabu wakamtema kenya sio kama huku kwenu chimba unye
Nyonyo, kamuulize hane wako akuoneshe nyonyo.Mbarika ni nini mkuu?
Nyumbu mmeumbukaaaa, hata mtoto mdogo anayejifunza kitembea anajia kuwa hii ni stagedSawa Mrs. Slim leo unajidai na password ya mumeo.
Nyie genge Abdul ni wauaji.Anyamaze aache kiherehere
Wakuu,
Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.
Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.
Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri
==========================================
"Jana niliondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask. Sikufuatilia sana baada ya kuona hivyo"
"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani"
"Kwa hiyo nikawa naenda getini ili niweze kuingia kwenye gari na wakati dereva anajaribu kuondoa gari ili kulipeleka barabarani, kuna mwanaume mmoja mweusi alitoka kwenye gari yao na wengine wawili wakaanza kumfokea dereva kwamba afungue mlango. Na mimi nikamwambia dereva asifungue mlango wa gari"
"Baada ya hapo waliweza kufungua mlango na wakaanza kunivuta nje nikaanza kupambana nao ili nisitoke nje ya gari lakini waliweza kunibeba na kuniingiza kwenye gari yao. Nilikuwa napiga kelele sana kuomba msaada baada ya muda wakaanza kujaribu kufiha uso wangu ili nisiwaone"
View: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=81e_duSZSc0
Maria akizungumzia iwapo Serikali ya Tanzania ilihusika katika utekaji wake:
Kwa nini anyamaze?Anyamaze aache kiherehere
Unajua zamani nilikuwa nakuchulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana.Ukiona Mtanzania anaelezea Tatizo lake Kwa kiingereza Basi jua hana Tatizo huyo analaghai tu. Mpira uishie hapo
Hapo alikuwa anakata mawasiliano kwa makusudi kwa sababu ambazo hajazisema wazi wazi! Yaani Kiswahili anasikia halafu anawajibu kwa Kiingereza!!Ukiona Mtanzania anaelezea Tatizo lake Kwa kiingereza Basi jua hana Tatizo huyo analaghai tu. Mpira uishie hapo