Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Duuu wewe si bure utakuwa wameshakutoa marinda kabla hata ya kuvunja ungo.

Si kwa upeo mkubwa huo uliokuwa nao wa kuchmbua mambo makubwa kama haya unayoyachambua.
unajua mimi ni baba kuwa mimi ni baba yako majibu atayapata mama yako ngoja usiku ufike
 
anataka kuzungumza jinsi alivyo jiteka sio?

hata hivyo bado hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act πŸ’
Hiyo ya Abdul Nondo ilivunja rekodi!

Mtu unajiteka na kujifunga pingu, unaenda unajipiga hadi kuvimba mwili mpaka unashindwa kutembea.

Hiyo ni noma sana.
 
Dereva asifungue mlango wa gari je dereva alishindwa ku u lock mlango na kuchapa lapa , walikuwa na gari ngapi waliwabana mbele na nyuma au ubavuni , kwa nn hakufuatilia na kuchukua tahadhari mwanamke mwenye kinyago alipoingia?,
Je mbona huyo mwanamke hakuwa miongoni mwa watekaji?
Ni sahihi mtu kuzurura na kinyago mtaani hakuna mwingine aliyemwona mtu huyo?
 
Unajua zamani nilikuwa nakuchulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana.

Kwa comment yako hii nimegundua kuwa nilikuwa nadandia train kwa mbele bila kujua kasi yake halisi.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Lengo ni kumvusha nje ya Kenya .Mama ameamua kuwatuma wasiojulikana Hadi Kenya ili kumchafua Kenya kuwa inateka?Mama haifai kabisa.2025 apumzike
 
Kutekwa sikuhizi ni kiki... Watu wanatafuta pesa za wazungu kwa mbinu sana... Yaani ni movie za kishamba sana...
By the way wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga tu huwa hawasemi πŸ’©
Two contradicting statements.
-Kutekwa na kiki(probably you're insinuating kwamba kajiteka)
-Wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga(here you believe kwamba alitekwa ila kwakuwa walimbambia/mlimwambia akae kimya na akasema hilo ni kosa)
 
Umeona jinsi ambavyo ukitumia akili kutaka kuwaelewa watu unaishia kutoelewa chochote... Maana yake usipende kuzingatia kilakitu anachosema mtu
 
unajua mimi ni baba kuwa mimi ni baba yako majibu atayapata mama yako ngoja usiku ufike
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. Sawa Dada mkubwa naona tokea wakutoe marinda sasa hivi unajifanya kidume eti nawe unadindisha, wakati wadau tumekucheki kwenye CCTV camera kitu chako Mlazo
 
Kakutana na Mahasla wa Nairobi anasingizia Tanzania. Huyu dada mtu wa ovyo sana!πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…