Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
Haka kajamaa sijawahi kukaamini hata siku moja. Kamekaa kajanja janja sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
Anyamaze aache kiherehere
unajua mimi ni baba kuwa mimi ni baba yako majibu atayapata mama yako ngoja usiku ufikeDuuu wewe si bure utakuwa wameshakutoa marinda kabla hata ya kuvunja ungo.
Si kwa upeo mkubwa huo uliokuwa nao wa kuchmbua mambo makubwa kama haya unayoyachambua.
Upo bikra wangu, sijakusikia hapa jukwaani kitambo nikadhani umishaenda kugaiwa huko kwa kina Sinwar kumbe Bado uko hapa afadhaliAzungumze tu.
Hiyo ya Abdul Nondo ilivunja rekodi!anataka kuzungumza jinsi alivyo jiteka sio?
hata hivyo bado hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
🙏🙏🙏🙏Unajua zamani nilikuwa nakuchulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana.
Kwa comment yako hii nimegundua kuwa nilikuwa nadandia train kwa mbele bila kujua kasi yake halisi.
Wewe umejuaje kwamba kajiteka, ulikuwepo huko Nairobi?nachocheka ni namna alivyojiteka gentleman na anaowalaumu![]()
anataka kuzungumza jinsi alivyo jiteka sio?
hata hivyo bado hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
we umejuaje ikiwa alitekwa gentleman 🐒
Two contradicting statements.Kutekwa sikuhizi ni kiki... Watu wanatafuta pesa za wazungu kwa mbinu sana... Yaani ni movie za kishamba sana...
By the way wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga tu huwa hawasemi 💩
Nakulaani tangu sasa,usifanikiwe mjini, usifanikiwe kijijini.Kweli Shoga hata mimi nimeona hii ni movie tu MPZ.
Umeona jinsi ambavyo ukitumia akili kutaka kuwaelewa watu unaishia kutoelewa chochote... Maana yake usipende kuzingatia kilakitu anachosema mtuTwo contradicting statements.
-Kutekwa na kiki(probably you're insinuating kwamba kajiteka)
-Wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga(here you believe kwamba alitekwa ila kwakuwa walimbambia/mlimwambia akae kimya na akasema hilo ni kosa)
Hiyo laana imeshafika kwa mumeo aliekupa mimba alafu akakukimbiaNakulaani tangu sasa,usifanikiwe mjini, usifanikiwe kijijini.
Uwe wa kukataliwa kila mahala.
Amina!
😆😆😆😆. Sawa Dada mkubwa naona tokea wakutoe marinda sasa hivi unajifanya kidume eti nawe unadindisha, wakati wadau tumekucheki kwenye CCTV camera kitu chako Mlazounajua mimi ni baba kuwa mimi ni baba yako majibu atayapata mama yako ngoja usiku ufike
Wakuu,
Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.
Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.
Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri
==========================================
"Jana niliondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask. Sikufuatilia sana baada ya kuona hivyo"
"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani"
"Kwa hiyo nikawa naenda getini ili niweze kuingia kwenye gari na wakati dereva anajaribu kuondoa gari ili kulipeleka barabarani, kuna mwanaume mmoja mweusi alitoka kwenye gari yao na wengine wawili wakaanza kumfokea dereva kwamba afungue mlango. Na mimi nikamwambia dereva asifungue mlango wa gari"
"Baada ya hapo waliweza kufungua mlango na wakaanza kunivuta nje nikaanza kupambana nao ili nisitoke nje ya gari lakini waliweza kunibeba na kuniingiza kwenye gari yao. Nilikuwa napiga kelele sana kuomba msaada baada ya muda wakaanza kujaribu kufiha uso wangu ili nisiwaone"
View: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=81e_duSZSc0
Maria akizungumzia iwapo Serikali ya Tanzania ilihusika katika utekaji wake: