Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
1736828203518.jpeg

Haka kajamaa sijawahi kukaamini hata siku moja. Kamekaa kajanja janja sana.
 
Duuu wewe si bure utakuwa wameshakutoa marinda kabla hata ya kuvunja ungo.

Si kwa upeo mkubwa huo uliokuwa nao wa kuchmbua mambo makubwa kama haya unayoyachambua.
unajua mimi ni baba kuwa mimi ni baba yako majibu atayapata mama yako ngoja usiku ufike
 
anataka kuzungumza jinsi alivyo jiteka sio?

hata hivyo bado hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
Hiyo ya Abdul Nondo ilivunja rekodi!

Mtu unajiteka na kujifunga pingu, unaenda unajipiga hadi kuvimba mwili mpaka unashindwa kutembea.

Hiyo ni noma sana.
 
Dereva asifungue mlango wa gari je dereva alishindwa ku u lock mlango na kuchapa lapa , walikuwa na gari ngapi waliwabana mbele na nyuma au ubavuni , kwa nn hakufuatilia na kuchukua tahadhari mwanamke mwenye kinyago alipoingia?,
Je mbona huyo mwanamke hakuwa miongoni mwa watekaji?
Ni sahihi mtu kuzurura na kinyago mtaani hakuna mwingine aliyemwona mtu huyo?
 
Unajua zamani nilikuwa nakuchulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana.

Kwa comment yako hii nimegundua kuwa nilikuwa nadandia train kwa mbele bila kujua kasi yake halisi.
🙏🙏🙏🙏
 
Lengo ni kumvusha nje ya Kenya .Mama ameamua kuwatuma wasiojulikana Hadi Kenya ili kumchafua Kenya kuwa inateka?Mama haifai kabisa.2025 apumzike
 
Kutekwa sikuhizi ni kiki... Watu wanatafuta pesa za wazungu kwa mbinu sana... Yaani ni movie za kishamba sana...
By the way wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga tu huwa hawasemi 💩
Two contradicting statements.
-Kutekwa na kiki(probably you're insinuating kwamba kajiteka)
-Wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga(here you believe kwamba alitekwa ila kwakuwa walimbambia/mlimwambia akae kimya na akasema hilo ni kosa)
 
Two contradicting statements.
-Kutekwa na kiki(probably you're insinuating kwamba kajiteka)
-Wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga(here you believe kwamba alitekwa ila kwakuwa walimbambia/mlimwambia akae kimya na akasema hilo ni kosa)
Umeona jinsi ambavyo ukitumia akili kutaka kuwaelewa watu unaishia kutoelewa chochote... Maana yake usipende kuzingatia kilakitu anachosema mtu
 
unajua mimi ni baba kuwa mimi ni baba yako majibu atayapata mama yako ngoja usiku ufike
😆😆😆😆. Sawa Dada mkubwa naona tokea wakutoe marinda sasa hivi unajifanya kidume eti nawe unadindisha, wakati wadau tumekucheki kwenye CCTV camera kitu chako Mlazo
 
Wakuu,

Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.

Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri

==========================================

"Jana niliondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask. Sikufuatilia sana baada ya kuona hivyo"

"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani"

"Kwa hiyo nikawa naenda getini ili niweze kuingia kwenye gari na wakati dereva anajaribu kuondoa gari ili kulipeleka barabarani, kuna mwanaume mmoja mweusi alitoka kwenye gari yao na wengine wawili wakaanza kumfokea dereva kwamba afungue mlango. Na mimi nikamwambia dereva asifungue mlango wa gari"

"Baada ya hapo waliweza kufungua mlango na wakaanza kunivuta nje nikaanza kupambana nao ili nisitoke nje ya gari lakini waliweza kunibeba na kuniingiza kwenye gari yao. Nilikuwa napiga kelele sana kuomba msaada baada ya muda wakaanza kujaribu kufiha uso wangu ili nisiwaone"


View: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=81e_duSZSc0

Maria akizungumzia iwapo Serikali ya Tanzania ilihusika katika utekaji wake:

Kakutana na Mahasla wa Nairobi anasingizia Tanzania. Huyu dada mtu wa ovyo sana!🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom